Nyangwine Kiswahili cha kuzungumza mdomoni hajui ! iweje azuge kuandika Vitabu vyenye Kiswahili fasaha tena kuna misamiati kibao ambayo nina imani nywangine haijui , huu Utapeli wa kitaaluma itakwisha lini? Hii ni mojawapo ya kudumaza Elimu ya Tanzania , nyangwine Tarime watakuundia Tume ya kukuchunguza vizuri.
Tarime vijijini Mbunge atakuwa Hechei tu. Nyambari hana chake mwaka huu.
Juzi wametoleana bAstola uko Tarime vijijini na mgombea ubunge mwingine Kwa ticket ya ccm bwana gimunta ilikuwa noma mbaya saizi anagombea kupitia jimbo la Tarime vijijini
mwee we nae kwani lafudhi mbovu ina maana kiswahili ndo hajui hahahaa hapa umemtusi hadi Dr magufuri yeye si nasikia ni msukuma wa zanzibar hahahaha content ya kichwani na lafudhi haviendani
Juzi wametoleana bAstola uko Tarime vijijini na mgombea ubunge mwingine Kwa ticket ya ccm bwana gimunta ilikuwa noma mbaya saizi anagombea kupitia jimbo la Tarime vijijini