Nyambari Nyangwile Mbunge bubu mjengoni

Nyambari Nyangwile Mbunge bubu mjengoni

minyoo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
23,313
Reaction score
22,320
Wakazi wa Tarime wanajuuta kumchagua mtu ambaye hazungumzi bungeni yeye kazi yake ni kuvuta posho na kusaka madili ya kuuza vile vitabu anavyoandikiwa na wajanja kisha anawalipa na kuzuga eti yeye ndiyo Mwandishi harisi.
 
Nyambari Mbunge posho vp utafurukuta kurejesha jina jimboni?
 
Wakazi wa Tarime wakikaa huwa wanamkumbuka sana marehemu chacha wangwe na wanatamani Mungu awaletee Mbunge wa Aina hiyo wamechoka kuwasikia wabunge Posho ambao kazi zao ni kuchukua posho kisha kukaa kimya au kugonga meza Kwa sauti za ndiyooo....
 
sio yeye tu kwani hata Rosti tamu wa Azizi enzi zake uliwahi kumsikia akiongea chochote?Ila kwa wabunge wa CCM wengi wao kukaa kimya ni bora na busara kuliko kuzungumza.Mfano wa wabunge kama Komba (marehemu),Serukamba,Nkamia..et al walikuwa ni majanga tu.CCM walikuwa na wabunge wachache sana kule mjengoni kama vile Lembeli,Lugora ,Filikunjombe.
 
Vipi kibajaji au profesa maji marefu ? Hata wale wa viti maalum akina mama Rwakatare watatejea tena?
 
Nyangwine mjanja sana. Anaandikiwa vile vitabu vya kitoto na walevi akina Masebo halafu anajidai kaandika yeye. Yaani singlehandedly jamaa kafanikiwa kuangamiza critical thinking ya vijana wetu. Yaani kila kitu wanategemea miongozo ya Nyangwine. Tatizo ni kwamba majibu mengi katika miongozo hiyo hayaendani na NECTA. Sasa wanakariri weee lakini mwisho wa siku wanaambulia zero huku Nyangwine yeye kimyaa ali mradi kapiga hela. Kuwa fisadi siyo lazima uwe kama Joka Makengeza ati!
 
Wabunge Posho wapo wengi kila mkoa kuna wabunge posho tena wengi ni wale wa kutoka Zanzibar Hawa ni kuchukua posho tu hawaongei au kuchangia hoja zozote zile.
 
Ni kweli unachosema Nyangwine yeye kaajili watu wajanja janja wenye Siri kubwa ambao huviandika hivyo Vitabu kisha kumkabidhi na yeye kuwahadaa wasomaji kuwa katunga yeye na kuviandika yeye ! Huu ni Utapeli wa kitaaluma , sijui anamdanganya nani? Maana ni Kama anajidanganya mwenyewe , wengi welevu walishamshitukia kuwa Hajui Kiswahili vizuri hivyo ule uandishi hauendani na Kiswahili anachozungumza nyangwine , Kiswahili kibovu Kama Mkenya , nyangwine jipange Safari yako ya kurejea kijinini kuwa mkulima imewadia .
 
Vipi kibajaji au profesa maji marefu ? Hata wale wa viti maalum akina mama Rwakatare watatejea tena?
Warudi bungeni wamesahau nini kule ni kwa wakwe zao?Ujinga mara moja wakati wa kwenda tu ,wananchi hawazezi kuwa wajinga mara mbili bana.

Wabunge Posho wapo wengi kila mkoa kuna wabunge posho tena wengi ni wale wa kutoka Zanzibar Hawa ni kuchukua posho tu hawaongei au kuchangia hoja zozote zile.
.
Waongee nini ilhali wao wana wa kuwasemea kule kwao?Hapa bara wabnalazimishwa kuja maana hata huo muungano hawautaki.Unaweza kumlazimisha kumfikisha punda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.Habari ndo hiyo.
 
Nyangwine Kiswahili cha kuzungumza mdomoni hajui ! iweje azuge kuandika Vitabu vyenye Kiswahili fasaha tena kuna misamiati kibao ambayo nina imani nywangine haijui , huu Utapeli wa kitaaluma itakwisha lini? Hii ni mojawapo ya kudumaza Elimu ya Tanzania , nyangwine Tarime watakuundia Tume ya kukuchunguza vizuri.
 
Warudi bungeni wamesahau nini kule ni kwa wakwe zao?Ujinga mara moja wakati wa kwenda tu ,wananchi hawazezi kuwa wajinga mara mbili bana.

.
Waongee nini ilhali wao wana wa kuwasemea kule kwao?Hapa bara wabnalazimishwa kuja maana hata huo muungano hawautaki.Unaweza kumlazimisha kumfikisha punda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.Habari ndo hiyo.
Ni kweli muungano hawautaki wao wana Rais wao, bunge Lao, baraza la wakilishi , bendera Yao, wimbo wao w taifa, na sasa wapo busy kubuni sarafu Yao , muungano hawautaki ndiyo maana Mbunge wa bara hawezi kufika baraza la waklishi , lakini wabunge wao Dodoma wanavuna posho kisha kukaa kimya kupiga meza kura za ndiyooo... , cha Zanzibar ni cha Zanzibar tu , lakini cha Tanganyika ni cha woote. Mpaka hapa Umeona Zanzibar ni wajanja mbele ya Tz bara .
 
Ni kweli unachosema Nyangwine yeye kaajili watu wajanja janja wenye Siri kubwa ambao huviandika hivyo Vitabu kisha kumkabidhi na yeye kuwahadaa wasomaji kuwa katunga yeye na kuviandika yeye ! Huu ni Utapeli wa kitaaluma , sijui anamdanganya nani? Maana ni Kama anajidanganya mwenyewe , wengi welevu walishamshitukia kuwa Hajui Kiswahili vizuri hivyo ule uandishi hauendani na Kiswahili anachozungumza nyangwine , Kiswahili kibovu Kama Mkenya , nyangwine jipange Safari yako ya kurejea kijinini kuwa mkulima imewadia .

Anachofanya Nyangwine kinaitwa plegiarism katika taaluma ya uandishi
 
Tarime vijijini Mbunge atakuwa Hechei tu. Nyambari hana chake mwaka huu.
 
Ni kweli unachosema Nyangwine yeye kaajili watu wajanja janja wenye Siri kubwa ambao huviandika hivyo Vitabu kisha kumkabidhi na yeye kuwahadaa wasomaji kuwa katunga yeye na kuviandika yeye ! Huu ni Utapeli wa kitaaluma , sijui anamdanganya nani? Maana ni Kama anajidanganya mwenyewe , wengi welevu walishamshitukia kuwa Hajui Kiswahili vizuri hivyo ule uandishi hauendani na Kiswahili anachozungumza nyangwine , Kiswahili kibovu Kama Mkenya , nyangwine jipange Safari yako ya kurejea kijinini kuwa mkulima imewadia .

Afadhali hata huyo wa kwenu wa kwetu RORYA toka ckuwalipoapishwa hajawahi hatakukanyaga dodoma,hajawahi hataksalimiana na yule b kudude.Kaziyake ni kupiga madili ya kutengeneza barabara uchwarwa,yy ndio mbunge na yy ndio anachukua tenda za kitengeneza barabara za rorya.kazi kwelikweli nduguzangu.
 
Ni kweli unachosema Nyangwine yeye kaajili watu wajanja janja wenye Siri kubwa ambao huviandika hivyo Vitabu kisha kumkabidhi na yeye kuwahadaa wasomaji kuwa katunga yeye na kuviandika yeye ! Huu ni Utapeli wa kitaaluma , sijui anamdanganya nani? Maana ni Kama anajidanganya mwenyewe , wengi welevu walishamshitukia kuwa Hajui Kiswahili vizuri hivyo ule uandishi hauendani na Kiswahili anachozungumza nyangwine , Kiswahili kibovu Kama Mkenya , nyangwine jipange Safari yako ya kurejea kijinini kuwa mkulima imewadia .

Nyie mmekaa kufikiria Kichuri tu yeye anatengeneza pesa nani kasema kitabu lazima uandike wewe ndio ukipe jina, Busala zinawapa vitambi tu Wakurya
 
Kama kunenepa kweli jamaa kanenepa...

Hata kama unaandikiwa na ghost writers basi hakikisha kuwa kitabu kina ubora kulingana na hadhi ya jina lako siyo maghost writers wako wanaripua halafu na wewe unatia jina lako. You gonna drag your name in the mud. But again this Bongo. Who cares ali mradi mtu umepiga hela haijalishi hata kama unaaangamiza kizazi kizima. Corrupt leaders come in every shape and every flavour my friend...
 
Vitabu vyake kwani anaviuza jimboni kwake pekee?tambua vitabu vyake vipo Nchi nzima, kwani kula kichuri na busara vina uhusiano gani na uchakachuaji wa Uandishi vitabu?wewe badala ya kumkosoa ili ajitambue na kujirekebisha unafagilia magumashi yake.
 
Kama kunenepa kweli jamaa kanenepa...

Hata kama unaandikiwa na ghost writers basi hakikisha kuwa kitabu kina ubora kulingana na hadhi ya jina lako siyo maghost writers wako wanaripua halafu na wewe unatia jina lako. You gonna drag your name in the mud. But again this Bongo. Who cares ali mradi mtu umepiga hela haijalishi hata kama unaaangamiza kizazi kizima. Corrupt leaders come in every shape and every flavour my friend...

Nchi hii itachukua miaka mingi kupata mwendelezo kwani kila kona kumejaa magumashi, tena wajinga wanaona ni ujanja kunenepeana na kupiga pesa huku wengi wakiathirika! Hivi huu ujinga utakwisha lini?
 
Back
Top Bottom