Diwani wa Nyamagana jijini Mwanza anaelezea changamoto za kiongozi kukabiliana na watoto wa mitaani:
Sheria zianzie kule vijijini kwa mwenyekiti wa mtaa kufuatilia familia wakiona mtoto ktk familia katoweka ili kujua kama mtoto kafanyiwa ukatili na kutorekea mjini n.k na wazazi wa familia hiyo kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kifungo jela ili kukomesha wazazi 'kutelekeza watoto wao''. endelea kumsikiliza:

Last edited by a moderator: