Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Tunajua nchi yetu imejifia. Mifumo haifanyi kazi, na ujinga ndo kila kitu. Si TAKUKURU, si TISS, si Mahakama, si JWTZ si POLISI si Serikali Kuu kote kumeoza.
Utaalam hauheshimiwi na uchawa ndo umetamalaki.
Tunajua sasa chaguzi za Tanzania ni kiini macho tu kuthibitisha ujinga wa Mtu mweusi kwenye sanduku la mpiga kura.
Pamoja na haya yote kilichonishangaza zaidi ni masikini kulishwa nyama choma ili mtu akachukue fomu ya kugombea ubunge.
Pamoja na yote haya kinachonishangaza ni masikini kutumika kwenye mbwembwe za kuwafanya kikundi kidogo cha Wanasiasa kuendelea kujineemesha na utajiri wa hili Taifa.
Kwa niliyaona Arusha leo. Acha tu Afrika tuendelee kuitwa bara la giza.