Nyamachoma ipo chini

Nyamachoma ipo chini

prospa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
554
Reaction score
157
Hii kweli imetokea, tulikuwa tupo kwenye daladala asubuhi kutokea ubungo - posta abiria wote tumetulia kama kawa wengine wamekaa wengine wamesimama sasa ghafla jamaa mmoja sharobaro amepiga pamba kali michenicheni heheni sikio moja kiujumla alitokelezea si akaanza kurudisha change(kutapika) duuuuuuu ilikuwa balaa akawa anatapiga ugali na dagaaa afu inaonekana alikuwa ametoka kula mda ule ule jamaa kwa kuondoa soo kila akitapika anapaza sauti haaaaaaaaa jamani nyama choma zipo chini, akatapika tena haaaaaaaa msiogope jamani nyama choma zipo chini,akatapika tena haaaaaaaaa hawa wadudu wageni humu tumboni thus why wanatoka, Bhasiii abiria wotee kichekooooooooooo
 
hiyo ndo komesha...bado wadada wanaovaa vjisuruali vmebana kama condom makalio na puto vinaonekana, kwa nn isijewatokea????
 
hiyo ubungo hapo tanga mbali
 
Wala haichekeshi ! Halafu, kama ibada ilikuwa inaendelea Mchungaji alitoka wapi uko nje ?

wakati mwingine unasoma thread ukidhani ina kitu cha maana baada ya kuisoma unakuta umepoteza bure muda wako. kuweni wabunifu topic za darasa la pili hazifai humu

Hii nilishawahi kuiona


Haichekeshi lakini !

Nimegundua hii ni tabia yako,
sasa kama ukisoma vichekesho hucheki ni kipi kinakufanya uendelee kuvisoma?na tangu umejiunga JF mwezi wa 6/2012 una post 48 tu na nyingi ndio za aina hii,hii inaonyesha we ni mtu wa aina gani.nakushauri sio lazima kila kitu mtu akipost wewe usome au ucomment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom