Nyama zinazoongoza kuliwa duniani

Nyama zinazoongoza kuliwa duniani

Lamborgini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
418
Reaction score
545
Nguruwe ndiyo nyama inayoliwa zaidi duniani, ikichangia asilimia 36 ya matumizi ya nyama duniani kote.

Inayofuata kwa karibu ni kuku (asilimia 33), ikifuatiwa na nyama ya ng’ombe kwa asilimia 24 na mbuzi/kondoo kwa asilimia 5.

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) pamoja na Idara ya Kilimo ya Marekani (USDA) hukusanya takwimu kuhusu matumizi ya nyama duniani, ambapo nyama ya nguruwe imeendelea kuwa ya kwanza kwa matumizi.
 
Mdudu hajawai Toka nambari Moja tangu awamu ya kina YUDA ESKARIOTI😃
 
Back
Top Bottom