- Thread starter
- #61
karibu uniungishe mkuu, biashara hamna kabisa
Tafuta kick nyingine, hii mada isha expired.
Tafuta kick nyingine, hii mada isha expired.
My muslim brothers really amaze me. These negroes will sin in every possible way,stealing,fornicating,insulting,killing, but when it comes to eating pork that is where they draw the line. Ati its not halal. These guys will have a special fire for them in hell,a fire of hypocrisyNi wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi wenye mabucha ya kitimoto kuumia sana, maana hakuna mzunguko wa pesa.
Bucha yangu ipo hoi! Kawaida, mida hii ningekuwa na pilikapilika nyingi kuhudumia wateja, lakini sasa niko tu nimekaa nikitazama nyama ikipoteza ule mvuto wake.
Hivi karibuni nitafikiria mbadala wa biashara, labda nichinje mbuzi au kuku ili angalau nipate kipato kidogo. Lakini ukweli ni kwamba, kwa sisi wafanyabiashara wa kitimoto, Ramadhani ni kipindi cha uvumilivu na maombi.