Nyama ya Bata ni tamu

Duh, kweli hali ya maisha bongo imekuwa ngumu! Hadi bata wanaanza wizi!
 
Huyo bata atakuwa kama mamba wa kwetu wale wa kutumwa.
 
Hahhahha....natamani ningekua huyo bata!!!

ili ule nyama ya bata au...................ila hiki kichwa cha habari hakina uhusiano wa moja kwa moja na habari yenyewe kwenye picha hizi..................au waonaje?????????
 
kweli nimeona.
umeona nyama ya bata ni tamu................hivi kwenye picha hii waweza kweli kuyathibitisha hayo au unachangia uzoefu wako binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…