Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,679
- 4,382
afande kula kula wa rushwa
Du si unacheki tembea ya kitemi iyo,apo ngumi jiweView attachment 87430
Nchi hii haishiwi vituko.
Lwakatare ashitakiwa kwa asomewa mashtaka ya ugaidi.
SWALI: Hivi huyu askari ana uwezo wa kulinda Gaidi?
Angalia alivyomzembe.
Je kuna uelewa wa maana ya Ugaidi?
Halina hata cheo kimoja .. Wizi rushwa
agh kumbe mi mkubwa wako? nahitaji salute haraka