nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Ha ha ha yuko fit huyo kwii kwiii
View attachment 87430
Nchi hii haishiwi vituko.
Lwakatare ashitakiwa kwa asomewa mashtaka ya ugaidi.
SWALI: Hivi huyu askari ana uwezo wa kulinda Gaidi?
Angalia alivyomzembe.
Je kuna uelewa wa maana ya Ugaidi?
Angalia mkono wa kulia mabavu 3 na ua Jeshini wanaita Staff Sergent sina uhakika na POLISI km wanaitwa MajorHalina hata cheo kimoja .. Wizi rushwa
....hapo tu jamaa ni "station sergent".....sipati picha atakapokuwa, "assistant inspector" atakuwaje...Janga kuwa mkuu kwa hawa Polisi-CCM
![]()
Yaani yupo makini hasa kwani anawatch kila step atakayokanya Lwakatare
Angalia mkono wa kulia mabavu 3 na ua Jeshini wanaita Staff Sergent sina uhakika na POLISI km wanaitwa Major
Nimemzidi kwani mm ni CO na yeye ni NCOAisee mbona wamsifu sana? na we ni kolpo?
Nimemzidi kwani mm ni CO na yeye ni NCO
Amenifuirahisha kwani kamdhibiti anayetuhumiwa kwa UGAIDI ambaye ni Afande huko alikotoka
Nimemzidi kwani mm ni CO na yeye ni NCO
Amenifuirahisha kwani kamdhibiti anayetuhumiwa kwa UGAIDI ambaye ni Afande huko alikotoka
View attachment 87430
Nchi hii haishiwi vituko.
Lwakatare ashitakiwa kwa asomewa mashtaka ya ugaidi.
SWALI: Hivi huyu askari ana uwezo wa kulinda Gaidi?
Angalia alivyomzembe.
Je kuna uelewa wa maana ya Ugaidi?