Nyama ngumu kama manati haipendezi, jitahidi mpishi ukipika nyama yoyote ile iwe laini

Jina moto na tangawizi,
Hata utumbo unaosifika ni mgumu kwa hivyo vitu viwili unalainika faster
Hapo kwenye jinamoto.
Hiki kiungo kinaitwa MSG kwa kirefu ni monosodium glutamate.
Kwa hapa bongo, kuna brand ya MSG ilikuja kutoka japan ikiitwa Ajinomoto (jina la kampuni wanaotengeneza), na sisi tumefanya kama ndio kiswahili rasmi.

Tunaelimishana tu.

Na mimi nachukia sana nyama ngumu.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
1. Wenzetu wanajua kutunza mifugo
2. Kuna umri wa mnyama kuchinjwa na sio mnyama mzee
3. Wanajua kuiandaa nyama kwa kuilainisha na viungo

HUku nyama tunachinja wazee wa mifugo
Halafu wakisindika kwenye makopo watu wanaanza kuipiga vita kuwa si mzuri kwa afya. So lipi ni lipi licha ya hizo sifa ulizotaja mkuu...!?
 
Halafu wakisindika kwenye makopo watu wanaanza kuipiga vita kuwa si mzuri kwa afya. So lipi ni lipi licha ya hizo sifa ulizotaja mkuu...!?
Afrika na Tanzania tunachojua ni ukoseaji wa kijinga tu.

Kwa habari ya ubora wa vyakula hatuna bali wenzetu ndio wanajua.
Sisi ni wala mifupa wakati wenzetu hula minofu.

Umewahi kusikia Mzungu amekufa kwa mfupa wa samaki kumkwama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…