Nyama na Sukari vimepanda

Bado haujasema mkuu,sahizi ukikaa na familia Anza kusifia maharage jinsi yalivyo naprotini kuliko nyama,labda wanaweza kukuelewa na labda sikukuu watakubali wapikiwe pilau harage.
Wali mseto huooo

Ova
 
Ambao tunaishi kwa wazazi stress kama hizi hazituhusu[emoji3526][emoji3526]
Zitakuhusu pale utakapo anza kunywa uji mchuchu bila chukari totooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zaman zetu sukari ikibaki kidgo mama alikua anaikaang'a kwanza ,then anatia maji inakoa vizuri tu .

Tunashushia na ndizi choma na parachichi pembeni asubh imeisha hiyo.
 
Yes imepanda juzi nmeenda bucha ninayonunua nikakuta nyama 10000 kilo nikasema hapa gharama zinazidi kuongezeka
 
sio mama,,tatizo ni izi sikukuu zilizo karibia mzee baba,na baada ya sikukuu madaftari,penseli,rula na kalamu zitapanda bei mara dufu{demand and supply},,,,,ata wakati wa corona majeneza yalipanda bei!!!!...wee mzee vipi acha kulaumu gvt kwa kila jambo!!
 
Daaaa kuna muda kweli nakiri jamaa alikuwa kiongozi wa Wananchi wa Kawaida.
Hili la kupanda kwa nauli linafikirisha sana
JamiiForums mobile app
Nauli.zimepanda sanaa toka alivyofariki Magufuri mtetezi wa wanyonge ,tatizo wapanga nauli ndio wamiliki wa vyombo vya usafirishaji na ndio wana siasa

Na swali je hayo mafuta yameshuka bei je nauli nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…