Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,177
- 29,882
Mkuu hili limenikera sana maana badala ya starehe sasa kwa kile kipande nilichokula nimeanza kuuguza tumbo kabla hata hakujacha bado.Mkuu umelala unawaza hio nyama?
Pole sanaMkuu hili limenikera sana maana badala ya starehe sasa kwa kile kipande nilichokula nauguza tumbo na hakujacha bado.
Ukitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the LoungeMkuu hili limenikera sana maana badala ya starehe sasa kwa kile kipande nilichokula nimeanza kuuguza tumbo kabla hata hakujacha bado.
Watani zangu wahaya siku hizi mnajua kuchoma nyama? Mimi ninachojua mnajua kuchoma ndizi tuUkitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Aje Bukoba kula nyama?Ukitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Nikiwa mitaa hiyo nitapatafuta.Ukitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Tunachoma mpaka KAYAWatani zangu wahaya siku hizi mnajua kuchoma nyama? Mimi ninachojua mnajua kuchoma ndizi tu
Starehe gharamaAje Bukoba kula nyama?
Karibu BukobaNikiwa mitaa hiyo nitapatafuta.
Uzi huu hauongelei senene, unahusu nyama choma ya mbuzi au ng'ombe. Bukoba baa zote ni senene ndizi choma.Ukitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Sky Motel nyama yake ya kawaida sana labda Bandari clubUkitaka kula nyama nzuri, njoo Bukoba sehemu inaitwa Sky Motel au Liquid the Lounge
Obvious we ni mtani wetu!!! Bukoba nyama kama zoteUzi huu hauongelei senene, unahusu nyama choma ya mbuzi au ng'ombe. Bukoba baa zote ni senene ndizi choma.
Bandari club sipajui!!! Au unasemea Bukoba Club?!!Sky Motel nyama yake ya kawaida sana labda Bandari club