Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,750
Na wakija kwenye matunda je??Sasa nakaribia kuwa vegetarian, watakapoanza kutengeneza na mboga basi nitahamia kwenye matunda
Kawaida ya Nyama hua ina damu, vipi hiyo vitro nayo ina damu feki??
Wanasayansi wameaanza kutengeneza nyama maabara waliyoipa jina la nyama ya Vitro au "Vitro meat" kwa kimombo ili kuondokana na usumbufu wa kufuga na kuchinja wanyama.
Kwa kawaida nyama yoyote hutengenezwa kutokana atoms mbalimbali. Kama unaweza kutengeneza atoms kwa njia tofauti na ya kawaida, basi pia unaweza kutengeneza nyama.
Ukipewa vipande viwili vya nyama kimoja kilichotokana na mnyama aliyechinjwa na nyingine aina ya Vitro ambayo hutengenezwa maabara ni vigumu kuelezea tofauti yake kutokana na kufanana kwa muonekano na hata ladha.
Maabara sasa inafanya kazi ya kutengeneza nyama ambayo ni sawa na nyama uliyozoea kununua buchani.
Profesa wa Molecular Biology, katika Chuo Kikuu cha Stanford, alinukuliwa na gazeti la The Gurdian la Uingereza akisema inawezekana kuondokana na usumbufu wa kufuga na kuchinja wanyama kwa kuwa nyama sasa inaweza kutengenezwa maabara.
“Sina nia ya kutengeneza vyakula vipya kwa watu wasiokula nyama. Natengeneza chakula kwa ajili ya wanaokula nyama na ambao wana nia ya kula nyama. Hii itawasaidia kupata nyama bila shurba.
“Nyama ya Vitro haitokani na kiumbe hai hivyo haiwezi kufa na hii naletea tofauti kubwa katika upatikanaji wake. Kiuchumi, gharama za uzalishaji wake ni kubwa na hivyo kufanya uzalishaji mkubwa kuwa changamoto. Pia kutokana na ushawishi wa wafugaji wakubwa Marekani na sehemu nyingine duniani, inawezekana kuwa na vikwazo vya kisheria,” anasema Profesa huyo.
Gharama kubwa za uzalishaji wa nyama ya Vitro inaweza kuwa ndiyo kikwazo kikubwa katika uzalishaji wake. Hata hivyo, ugunduzi wa hivi karibuni kwenye teknalojia ya uzalishaji wake unategemea kupunguza gharama.
Kwa sasa kampuni kubwa ikiwamo New Harvest na Modern Meadow zinafanya kazi kuhakikisha kuwa nyama hii inazalishwa kwa wingi na kuwafikia walaji wengi.
Chanzo: Mtanzania
Matunda pia yapo km sikosei...genetic engineered...km zile apple za south africa..zimejaa kitaa si nasikikia ni za kisasa zaidiNa wakija kwenye matunda je??
Usisubiri hayo yote amuwa sasa hivi kuwa vegetarian zipo faida nyingi tu ukiamuwa kuwa vegetarian. Nakutia moyo jielimishe kuhusu vyakula usihofu kuwa vegetarian.Sasa nakaribia kuwa vegetarian, watakapoanza kutengeneza na mboga basi nitahamia kwenye matunda
Hii yote ni mikakati ya Shetani kuwafanya Wanadamu waiasi mipango ya Mungu!Yeye alipanga wanadamu wale nyama iliyotokana na "neno lake" sio ya kujitengenezea maabara.Afterall wanaofanya uasi huu ni agents wa Shetani ambao Shetani amewapandikizia chuki ya kupindukia dhidi ya wanadamu.Katika background hiyo kila aina ya sumu zitachanganywa kwenye the so called nyama ambayo kwa kweli sio nyama, ili kutudhuru na hata kutuua.Inashangaza kwamba wanadamu walioumbwa katika mfano wa Mungu wanashangilia uovu huo.Tumekuwa wajinga kiasi hicho kwamba we can't see what is so obvious. Si ajabu Mungu mwenyewe anasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.
Wanasayansi wameaanza kutengeneza nyama maabara waliyoipa jina la nyama ya Vitro au "Vitro meat" kwa kimombo ili kuondokana na usumbufu wa kufuga na kuchinja wanyama.
Kwa kawaida nyama yoyote hutengenezwa kutokana atoms mbalimbali. Kama unaweza kutengeneza atoms kwa njia tofauti na ya kawaida, basi pia unaweza kutengeneza nyama.
Ukipewa vipande viwili vya nyama kimoja kilichotokana na mnyama aliyechinjwa na nyingine aina ya Vitro ambayo hutengenezwa maabara ni vigumu kuelezea tofauti yake kutokana na kufanana kwa muonekano na hata ladha.
Maabara sasa inafanya kazi ya kutengeneza nyama ambayo ni sawa na nyama uliyozoea kununua buchani.
Profesa wa Molecular Biology, katika Chuo Kikuu cha Stanford, alinukuliwa na gazeti la The Gurdian la Uingereza akisema inawezekana kuondokana na usumbufu wa kufuga na kuchinja wanyama kwa kuwa nyama sasa inaweza kutengenezwa maabara.
“Sina nia ya kutengeneza vyakula vipya kwa watu wasiokula nyama. Natengeneza chakula kwa ajili ya wanaokula nyama na ambao wana nia ya kula nyama. Hii itawasaidia kupata nyama bila shurba.
“Nyama ya Vitro haitokani na kiumbe hai hivyo haiwezi kufa na hii naletea tofauti kubwa katika upatikanaji wake. Kiuchumi, gharama za uzalishaji wake ni kubwa na hivyo kufanya uzalishaji mkubwa kuwa changamoto. Pia kutokana na ushawishi wa wafugaji wakubwa Marekani na sehemu nyingine duniani, inawezekana kuwa na vikwazo vya kisheria,” anasema Profesa huyo.
Gharama kubwa za uzalishaji wa nyama ya Vitro inaweza kuwa ndiyo kikwazo kikubwa katika uzalishaji wake. Hata hivyo, ugunduzi wa hivi karibuni kwenye teknalojia ya uzalishaji wake unategemea kupunguza gharama.
Kwa sasa kampuni kubwa ikiwamo New Harvest na Modern Meadow zinafanya kazi kuhakikisha kuwa nyama hii inazalishwa kwa wingi na kuwafikia walaji wengi.
Chanzo: Mtanzania
Vipi kuugua?.....naskia vegetarian haugui hovyo!Nimekuwa vegan mwaka wangu wa sita sasa. Nashangaa watu wanaosema usipokula nyama hutopata proteins yakutosha kwenye mwili sasa mimi nimeishi miaka yote hiyo afya yangu ni nzuri sijapata tatizo lolote. Kiufupi ni kwamba nakula chakula kinachotoka ardhini tu. Kama ni protein basi napata kwenye Broccoli au maharage na jamii nyingine ya beans.
Kuugua hii inategemea na mfumo mzima wa maisha unayoishi. Mimi mbali ya kuwa vegan pia najali sana mazoezi. Haiwezi kupita siku tatu bila work out. Kama wewe unaamuwa kuwa vegetarian (ufahamu tofauti kati ya vegetarian na vegan) halafu huzingatii kanuni nyingine za afya utauguaVipi kuugua?.....naskia vegetarian haugui hovyo!
unatumia tabs za vitamin B12 lakin mkuu.....kwenye nyama hatupati proteins tu....Nimekuwa vegan mwaka wangu wa sita sasa. Nashangaa watu wanaosema usipokula nyama hutopata proteins yakutosha kwenye mwili sasa mimi nimeishi miaka yote hiyo afya yangu ni nzuri sijapata tatizo lolote. Kiufupi ni kwamba nakula chakula kinachotoka ardhini tu. Kama ni protein basi napata kwenye Broccoli au maharage na jamii nyingine ya beans.
mim siamini sana ....coz unaposema wanaweka sumu ili watu wafe sasa the so called shetani atampata wapi mtu wa kumdanganya?....kwa upande wangu hayo ni mafanikio ya tafiti....na huenda ikatusaidia baadae katika matibabu n.k...Hii yote ni mikakati ya Shetani kuwafanya Wanadamu waiasi mipango ya Mungu!Yeye alipanga wanadamu wale nyama iliyotokana na "neno lake" sio ya kujitengenezea maabara.Afterall wanaofanya uasi huu ni agents wa Shetani ambao Shetani amewapandikizia chuki ya kupindukia dhidi ya wanadamu.Katika background hiyo kila aina ya sumu zitachanganywa kwenye the so called nyama ambayo kwa kweli sio nyama, ili kutudhuru na hata kutuua.Inashangaza kwamba wanadamu walioumbwa katika mfano wa Mungu wanashangilia uovu huo.Tumekuwa wajinga kiasi hicho kwamba we can't see what is so obvious. Si ajabu Mungu mwenyewe anasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.
Ntaanza kula mboga mboga tu au nyama ambayo nimeshuhudia mnyama akichinjwa