Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600Huku Goba kwetu nyama kilo ni 13000 na ile ya Grade one steki ni elfu 15
Kwenu bei ipoje?
Asante Daktari Samia hakika unaupiga mwingi kwani ulipoingia Nyama kilo ilikua 5000 sasahivi ni elfu 15 samia hoyee
Mitano tena ili nyama ifike elfu 50 kilo!?
Kwenu bei ipoje?
Peleka Dar ukauze kg1 tsh10,000/=Watu
Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600
Mikoani wapi taja huko. bei ya nyama kilo sh. 5600Watu
Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600
Mkoa gani huo,Mwanza ni sh 9,000/ mpaka sh 10,000/Watu
Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600
Nilikimbilia Kijijini kikajua kuna nafuu.....Stake 14k, Mchanganyo 12kHuku Goba kwetu nyama kilo ni 13000 na ile ya Grade one steki ni elfu 15
Kwenu bei ipoje?
Asante Daktari Samia hakika unaupiga mwingi kwani ulipoingia Nyama kilo ilikua 5000 sasahivi ni elfu 15 samia hoyee
Mitano tena ili nyama ifike elfu 50 kilo!?
Kwenu bei ipoje?
Mkoa gani jamaa?Watu
Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600
Acha kumsingizia Ndugu unafaidika nini kusema uongoMamaenu tangu alipoingia madarakani kila kitu kimepanda bei
Kijiji gani hapo ulipo?Watu
Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600
Watu

mkoa wenyewe uwe na mifugo ya bei chee kwanzaNilikimbilia Kijijini kikajua kuna nafuu.....Stake 14k, Mchanganyo 12k
Bora nifuge tu Kitimotomkoa wenyewe uwe na mifugo ya bei chee kwanza
Wapi huko mkuu??Watu
Watu wa dar mnaishi kwa taabu sisi huku mikoani kilo 5,600
Ukweli ni upi?Acha kumsingizia Ndugu unafaidika nini kusema uongo