Nyama inayofunika jicho kutetema

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Habari watu wa JF,

Naomba kupewa ufafanuzi kwanini nyama iliyofunika jicho ya juu huwa inatetema kwa muda mara kadhaa imekua ikijirudia.

Hii au inamaana gani kutokea hivi au ni tatizo pia?

Natanguliza shukrani karibu.
 
Kwa hisani ya google..hata mid no muhanga na huwa inakuja na kupotea
Screenshot_20220612-161925_1655040061893.jpg
 
Kulia tena ila nyama ya juu
Likiwa linatetemeka utasikia habari mbaya za kuhuzunisha au ikitokea jicho lako la kulia linakuwasha utasikia habari mbaya ya kukuhuzunisha au habari ya msiba na mfano wake.

Na ikitokea jicho la kushoto nyama inatetemeka ni isha ya habari ya kukustaajabisha au jicho la kushoto likiwa linakuwasha utasikia habari pia ya kukustajabisha ninavyo elewa mimi hivyo.

Na pia nenda hospitali ukapime afya yako damu full blood picture.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom