Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 210
Hivi weweee.......
Wewe poromoka tu hata kama ni nanilii......., najua kuna kitu nitaokota kutoka kwako.
Jina hilo revise kidogo maana tayari lina mwenywe ambae keshajijengea jina na festival zake za nyama choma...
Hata uoni aibu eti nimekaa nikafikiria bora hata ungekuwa wa bush na hauna access ya internet sawa Mwenzio kakaa kafikiri kaianzisha imekuwa maarufu inafanyika mara 4 kwa mwaka akaiita nyamachoma festival leo ujidai unataka kuanzisha na wewe mbaya zaidi umecopy hadi jina ina maana hujawahi kusikia Nyamachoma festival b4 au hata humu jf kwenye post hujawai iona au ukisikia hilo neno unadhani ni bar moja maarufu mjini. Mwachie Caroline Ndosi idea yake tumia akili kuwaza biashara nyingine au km hiyohiyo basi badili jina usiibe kila kitu.