Nyalandu apinga Katiba inayopendekezwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.

Chanzo:Nipashe

Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya?

Wanasiasa kuona ufalme wa Mungu ni vigumu kuliko Ngamia kupenye kwenye tundu la sindano.
 
Ameukosa ndiyo maana ameamua kuropoka.Alikuwepo kwenye mchakato mbona hakusema?
 
Nyalunda ni nani......?.....una hakika sisi tunamfahamu......?.....
 
Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.

Chanzo:Nipashe

Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya?

Wanasiasa kuona ufalme wa Mungu ni vigumu kuliko Ngamia kupenye kwenye tundu la sindano.
hivi hajapata hata ujumbe wa nyumba kumi?
 
Jangili kaibuka baada ya kukosa nyadhifa ya kudhoofisha utalii wetu, wataisoma namba eeee.
 
Nyalandu hajitambui na hakuna lolote la maana alilofanya kwenye wizara ya Maliasili na utalii,nilimkubali tu alipoungana na Sitta (Msaliti) katika kupinga kwa Tanzania kusaini mikataba isiyo na tija kwenye EAC

Baada ya hapo huyu ni wa kupuuzwa tu na anajipendekeza ili apate ukuu wa mkoa.
Akikusikia MSIGWA Umekwisha.....................
 
Nyalandu hajitambui na hakuna lolote la maana alilofanya kwenye wizara ya Maliasili na utalii,nilimkubali tu alipoungana na Sitta (Msaliti) katika kupinga kwa Tanzania kusaini mikataba isiyo na tija kwenye EAC

Baada ya hapo huyu ni wa kupuuzwa tu na anajipendekeza ili apate ukuu wa mkoa.
Nyalandu uchungu wa kukosa uwaziri wa maliasili na uwenyekiti wa kamati ya maliasili ndo kinachomsokotoa maana yeye na msigwa walikua lao moja kwenye dill la vitalu vya uwindishaji kule arusha
 
Atakua ana mrahisishia mtumbua majipu kazi ,yaani jipu lake sio kwamba tu limeiva bali linang'aa kama nyota
 
Gazeti la nipashe linaripoti kwamba Lazaro Nyalandu anakuwa kada wa kwanza wa ccm kujitokeza hadharani kupinga mchakato wa katiba inayopendekezwa .

akielezea mchakato huo katika akaunti yake ya Tweeter , amesema rasimu mpya inahitaji marekebisho makubwa kabla ya kupelekwa kwa wananchi .

Ama kwa hakika ukishangaa ya Musa basi utayaona ya firauni .
 
Ukishatoka kundini ndo unaona mapungufu........poor Nyalandu
 
hata lowasa baada ya kuhamia chadema ndio akajua umuhimu wa katiba mpya hawa waliifurahia sababu wakati ule ilikuwa inawapendelea lakini baada ya kuwaa nje ya system ndio wanaona haifai
 
Back
Top Bottom