Nyalandu Akisakata Dansi Ujerumani (Picha)

Status
Not open for further replies.
Aliyekuwa Waziri wa Utalii, akisakata Dansi nchini ujerumani alipokwenda kwenye maonyesho ya Utalii mjini Berlin, Daah hivi kwa style hii kama nchi tutatoboa kweli?
Hivi huyu jamaa safari hii katupwa?
 
Unadili na serikali ya awamu ya nne mpaka leo, nchi haiwezi toboa chini ya utawala wa ccm, hii ni awamu ya maghembe kwenye utalii huyu anakula alivyochuma.
 
AISEE MUNGU ametuepushia lile lizee la pale mbele ya CHALINZE lenye maneno ya shombo. DEDICATION:
 
Kwenda kwenye ziara ya kikazi kama hii ( ITB-Berlin, World's Leading Travel Show) na kuishia kusakata RHUMBA tena hadharani huku ukitabasamu kwa kutazama KEMERA, kwa cheo hiki cha Waziri ni kama kufanya mzaha/utani na wananchi maskini wanashindia matunda kama mlo aisee. Hivi tunajielewa kweli?
 
faiza: Obama unamlinganisha na waziri wa nchi maskini kama Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…