Nyalandu aendeleza moto

uongo utakusaidia nini ?
 
Maisha yanaenda kasi sana. Akirudi chumbani anaanza kulia. Kutoka Waziri Wa Maliasili na Utalii mpaka mtembezi Wa mtaani akinadi fulana za bavicha!

Mwenzio ni bilionea huyo....we endelea kumponda wakati unashindilia ugali na maharage!
 
Sijui, labla ni mawazo yangu tu. Lakini naona kama kuna siku Nyalandu atajitoa Chadema au hata kurudi CCM tena kama walivyofanya Lowassa na Masha.
Wacha kumfananisha Nyalandu na mambo ya kijinga
 
Mara oooh hakuna demokrasia mara tumebinywa kufanya siasa na hapo Nyalandu anafanyia Chumbani kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…