Nyakirang'anyi Mauza: Ni tapeli kama inavyodhaniwa?

Kama zacharia mi sitaki hata kumsikia, gari zake zilikuwa hazikamatwi zinakimbia zinaweza kushindana na risasi kwa speed. Yaan 3hours mwanza trm safari ya kama moro to dom, trafiki akikamata anapigiwa simu na IGP ama RPC utaanzaje kuikamata gari next time
Hapo kwa IGP umepiga fix..
 
sifurahii watu kupata matatizo lakini ukweli ni kwamba nchi hii ilioza, hususani awamu ya 4, ujanjaujanja na uswahiba ulikua mwingi mno, kuna watu walikua kama miungu watu!
JPM endelea kukaza uzi maana nchi ni ya wote na sio kikundi flani kidogo cha maswahiba wa viongozi.
lakini pia mtumbue bashite na uache kuwanyanyasa wapinzani, la sivyo 2020 kura yangu hupati!!
Well said, nime log in kukugongea like tu mkuu. Big ups.
 
Umafia wao ni ipi mkuuu tufumbue macho
Wengi Mali zao wamezipata kwa njia za Ujambazi, kuua watu na kuua wanyama wetu Serengeti. Matajiri wa huku ni hatari na wauwaji wakubwa ngoja damu za wafu ziwatafune.
 
Kwa wakazi wa Musoma mkoani Mara jina la MAUZA si geni.

Ni jina kubwa mjini hapa lakini zaidi kuna wanaomjua kwa undani.

Jamaa huyu anamiliki Mgodi katika Halmashauri ya Musoma Vijijini, Wilaya ya Butiama kijiji cha Kataryo, ambao aliujenga kwa ushirikiano na nchi ya Canada, mgodi huo unaitwa CATA Mining (CATA - Canada-Tanzania).

Mauza aliujenga mgodi huu kwa Shilingi Bilioni 108 ambapo kati ya hizo, Dollar Milioni 34 ni mkopo kutoka CRDB na Dollar Milioni 20 ni kutoka TIB.

Bwana huyu, inadaiwa ndiye mwenye kampuni ya Mabasi ya Musoma Bus; ndiye mwenye kampuni ya ujenzi ya Spencon na pia anadaiwa kuwa mmoja wa wafadhili wakubwa wa CCM Mkoani Mara.

Sasa, safari ya Rais Magufuli mkoani Mara (inayoendelea) imekuja kummulika jamaa huyu kama mmoja wa wapigaji wa siku nyingi waliokuwa wakibebwa na “mfumo”.

Wenye data za bwana huyu hebu tiririkeni
Yupo mwanae yeye yupo Dsm ni mwanakamati ya uchakachuaji ya CCM kile kikundi kilichotoka kenya kuja kuvuruga na kuiba kura kiliongozwa na mwanae na mpaka sasa yeye ni kinara wa kuongoza mbinu za kuwaibia kura Wapinzani.
 
Mkuuu huyo mzeee ndiye alipewa mradi wa serikali wa maji pale Bunda Bil.9 maji hakuna, kule Musoma alibinafsishiwa na serikali Musoma Hotel kitu Nyota 5 alichofanya akapiga kiberti alipwe na bima lkn bima wakastuka. JPM alivyofika Mkoani Mara juzi akazinyaka ndipo akamlipua awekwe ndani fasta. Lkn nje ya kashfa hizo mzee pia ni mjasiliamali pia nilivoeleza.
Mwanae yeye anakula pesa za CCM kiulani mpaka sasa kwani vikundi vyote vya CCM vya kudhoofisha upinzani yupo, kuanzia kikundi cha kuwanunua wabunge, madiwani, kuwahujumu chadema, uchakachuaji nk, huko Musoma baba yake anapata tabu sana lakini mwanae yeye anapata pesa kwa njia haramu ya kudidimiza Demokrasia nchini.
 
Kwanini asingeshughulikiwa kimya kimya?
Kuna ulazima wowote wa kumtaja ziarani?
Hizo ni tuhuma tu mahakama ndo itaamua.
Mahakama gani, hizi za hapa Tz ziliishasema mke wa Zakaria aachiliwe hana hatia lkn hadi sasa yuko ndani. Mahakama hizi hazina ubavu kwa utawala usiozingatia sheria labda za Kenya.
 
Mahakama gani, hizi za hapa Tz ziliishasema mke wa Zakaria aachiliwe hana hatia lkn hadi sasa yuko ndani. Mahakama hizi hazina ubavu kwa utawala usiozingatia sheria labda za Kenya.
Basi vumilieni subirini siku ya Kiyama. Huenda haki itatendeka.
 
Kwa wakazi wa Musoma mkoani Mara jina la MAUZA si geni.

Ni jina kubwa mjini hapa lakini zaidi kuna wanaomjua kwa undani.

Jamaa huyu anamiliki Mgodi katika Halmashauri ya Musoma Vijijini, Wilaya ya Butiama kijiji cha Kataryo, ambao aliujenga kwa ushirikiano na nchi ya Canada, mgodi huo unaitwa CATA Mining (CATA - Canada-Tanzania).

Mauza aliujenga mgodi huu kwa Shilingi Bilioni 108 ambapo kati ya hizo, Dollar Milioni 34 ni mkopo kutoka CRDB na Dollar Milioni 20 ni kutoka TIB.

Bwana huyu, inadaiwa ndiye mwenye kampuni ya Mabasi ya Musoma Bus; ndiye mwenye kampuni ya ujenzi ya Spencon na pia anadaiwa kuwa mmoja wa wafadhili wakubwa wa CCM Mkoani Mara.

Sasa, safari ya Rais Magufuli mkoani Mara (inayoendelea) imekuja kummulika jamaa huyu kama mmoja wa wapigaji wa siku nyingi waliokuwa wakibebwa na “mfumo”.

Wenye data za bwana huyu hebu tiririkeni
Mh huyo ni mtu anaeogopwa sana pale Mara na kuna malalamiko mengi dhidi yake lakini kwa sababu ya ukwasi hakuna wa kumgusa kabisa
 
Back
Top Bottom