Nyakati na watu

Nyakati na watu

Haya ni maligizo kabissa haya. Waliopo hapo wote ni wao kwa wao.
Hata tuki assume kuwa hao wengine si miongoni mwao, lakini bado wao wanao nekana kabisa kuwa wapo wengi.
Ila Nyerere ukimwangalia vizuri ni kama kakaa kwenye foleni muda mrefu.
 
Picha ya kikwete hakuwa rais wakati huo, sijui kuhusu ya mzee kifimbo
 
Back
Top Bottom