Nilikuwa na "homuweki" kupima namna distances zilivyoanza kupishana kulingana na nyakati!Ni lazima uwe na macho "mengi"!😁😁😁😁Mambo ya nyakati...
Dada umekula maharagwe ya wapi?Mungu ambariki raisi wetu Magufuli raisi wa watanzania wote asiyekuwa na ubaguzi na mpenda haki
Hapa watu wameambiwa wakae mbali ili mzee baba ajiandikishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi ule ulinzi anaotembea nao huyu mzee kama yupo vitani shida nini???? Amekuja kutujazia magari ya jeshi huku kusini utadhani tulimtangazia vita
Acha kuwasingizia mkuu, zamani ndio kulikuwa na vijana watata,Hadi disco walikuwa wanaingia na zanaMshana ulitaka uone mgusano wa raia na prezident? Hujui kuwa raia wa sasa wanatembea na bisibisi.
Mkuu ni movie hiyoNimezoom hiyo picha no3 na kumwangalia mmoja baada ya mwingine kama refa anapotumia VAR, facial expression zao zinaonesha wanajuana wote na wanajua wanachofanya. Ukizoom wale kule mbele kwenye miti ndio wanawashangaa akina meko sasa.
Ina maana picha yenye uhalisia kwa 100% ni ya watu wa kwenye miti.
Kweli tunazeeka sasa. Enzi hizo TVT ndio ipo majaribio. Sasa TBCFlashback.... Tunazeeka sasa
🤣🤣🤣🤣Mshana ulitaka uone mgusano wa raia na prezident? Hujui kuwa raia wa sasa wanatembea na bisibisi.
Watu wanne mbele na wanne nyuma ni usalama... Na watakuepo wengine wanajifanya ni wananchi wanyonge kumbe makomandoo.
Unaweza kuwa sahihi mkuuWatu wanne mbele na wanne nyuma ni usalama... Na watakuepo wengine wanajifanya ni wananchi wanyonge kumbe makomandoo.
Hujui kama kumkejeli Rais ni kosa?!Mungu ambariki raisi wetu Magufuli raisi wa watanzania wote asiyekuwa na ubaguzi na mpenda haki
😂😂😂Hujui kama kumkejeli Rais ni kosa?!
Duh mbn wameja tu hpo wazee wa eagle house kuliko raia