Mungu habagui... Hutoa baraka zake kwa wema na wabaya pia
Hapa watu wameambiwa wakae mbali ili mzee baba ajiandikishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi ule ulinzi anaotembea nao huyu mzee kama yupo vitani shida nini???? Amekuja kutujazia magari ya jeshi huku kusini utadhani tulimtangazia vita

Kakukosea nini mpaka umtamkie haya?Mungu ambariki raisi wetu Magufuli raisi wa watanzania wote asiyekuwa na ubaguzi na mpenda haki
Na yeye kukejeli wengine si ni kosa pia au?Hujui kama kumkejeli Rais ni kosa?!
haha wewe ni bingwa wa fasihiMungu ambariki raisi wetu Magufuli raisi wa watanzania wote asiyekuwa na ubaguzi na mpenda haki
Nikiangalia ni kama hizi picha mbili zilipigwa siku moja, lakini mtiririko wa watu walio mbele ya Mwalim hauko sawa. Naomba kujuzwa Wakuu!
First lady anacheka tuu..
Mshana ulitaka uone mgusano wa raia na prezident? Hujui kuwa raia wa sasa wanatembea na bisibisi.
Picha namba 3 ni Rais, Mke wa Rais na TISS (including waandikishaji TISS).
yaan wananchi wale kuleee kwny mbuyu wanachungulia.[emoji38][emoji38][emoji38].
Watu wanne mbele na wanne nyuma ni usalama... Na watakuepo wengine wanajifanya ni wananchi wanyonge kumbe makomandoo.
Duh mbn wameja tu hpo wazee wa eagle house kuliko raia
Ova
Hivi hawa walinz wa raisi kwanini wanafuga vitambi??