Nwapongeza Nwangwine Publishers

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,377
3,823
Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.
 
Wewe hujui vitabu wewe, umetumwa! Toka lini huyo publisher unayemtaja katoa kitabu zaidi ya yale matakataka waliyotumia wanafunzi wa kidato cha nee wakapiga oooooo kibao. Kilaza mkubwa weeeeeeeeeeeee, acha kusifia uharo
 
What i know anatengeneza PAMPHLETS.......ILA ZINA ISSBN,ambazo ni rahisi kupata
Wewe hujui vitabu wewe, umetumwa! Toka lini huyo publisher unayemtaja katoa kitabu zaidi ya yale matakataka waliyotumia wanafunzi wa kidato cha nee wakapiga oooooo kibao. Kilaza mkubwa weeeeeeeeeeeee, acha kusifia uharo
 
Vitabu vipi vya Nyangwine Publisher, unavyovizungumzia? Hivi hivi vinavyo wafanya wanafunzi kuwa wavivu wa kufikiri?
 
Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.

Ivi na wewe upo kwenye familia ya Great thinkers? unasifia mwizi wa notes za walimu kuwa anaandika vitabu vizuri? umelipwa shilingi ngapi kuleta hoja isiyo na kichwa wala miguu hapa? ...Zile ni notes tu za walimu alizochukua na kuchapa bila hata kuhaririwa na kuhakikiwa juu ya ukweli wa maudhui yaliyomo. Huyu ni kati ya watu wanaochangia kushuka kwa elimu kwa kutoa vitabu visivyo sahihi.

Kamwambie ulikonituma mheshimiwa ni kwa watu wanaofikiri kwa kina nimekwama!!
 
Nwangwine Publishers wameleta Revolution katika fani ya uandishi wa vitabu hasa vua elimu ya sekondari. kusema kweli juhudi zao zinawasaidia sana walimu, wazazi na wanafunzi kupata vitabu mbali mbali vya masomo na vinaendana na mitaala iliyopo. Hima nasi wengine tu take time na fursa iliyopo kuandika vitabu kuendeleza elimu nchini.
mkuu uko very right japokuwa wa2 wanakuponda.. Lkn mm mwenyewe nimetumia vitabu vya nyambari publishers na nimefaulu vizuri tu o - level .. Tatizo wengi wanaoviponda vitabu vya nyambari hawajawahi kuvitumia lakini mimi nimevitumia na, ni vitabu vizuri (speaking from experience..)
 
Nafundisha Geography na vitabu vingi tu vilivyopigwa chapa na hawa watu nimevipiga marufuku.

Kufanya kazi ya ku-copy and paste materials za RB Bunnett -- Physical Geography in Diagrams for Africa na Pritchard -- Practical Geography for Africa, Principles of Physical Geography -- Monkhouse sio suala la kusifiwa mkuu. When the original is there why go for summary?

Vitabu hivi ni vizuri kwa wale ambao wanaamini elimu ya Tanzania ni ya kukariri ili kujibu mitihani sababu hata imefikia mahala walimu pia kwa uvivu au sabuabu nyingine wanazozijua wao, wanatunga hata mitihani kwa kutumia maswali yaliyomo humo. Muendelezo wa Ubakaji wa wazi wa mfumo wa elimu ambao hata hivyo tayari hauna msimamizi makini!
 
Vitabu hvo vinawafaa zaidi wale wazee wanaosoma evening classes ila kwa mwanafunzi alie ktk full tym havifai, vinadumaza uwezo wa watoto kufikiria. Most of gud teachers wamevipiga marufuku...ukikutwa nayo unaadhibiwa!
 
Back
Top Bottom