Nusu ya warusi wanapata chini ya $550 kwa mwezi

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,415
9,557
Nusu ya warusi ambayo ni kama watu 70 milioni wanaingiza chini ya Dola 550 kwa mwezi

Vikwazo vya magharibi vyatajwa kua moja ya chanzo.

Rais Putin aweka mkazo wa kuwaondoa kwenye umaskini



source: aljazeera
 
Kwa pesa za tz ni zaidi ya milion moja na laki tatu hivi.
Hiyo pesa ni nyingi ukilinganisha na gharama za maisha nchini urusi lakini pia kuna huduma nyingi zinapotikana bila malipo na nyingine zinapatikana kwa gharama nafuu.
Tofauti na Amerka na nchi nyingi za ulaya gharama za maisha ziko juu mno na kwa hiyo pesa ni ndogo na huduma zote ni za kilipia na ni ghali sana.
 
Haina maajabu sana labda kwasababu bado sijabahatika kufika uko magharibu nikuonapo napo papoje ila urusi maajabu hakuna kabisa
Thamani ya pesa na ughali wa maisha wap na wap mkuu ?!

Pesa inawezekana ikawa haina thamani ila maisha yao yakawa yanaendana na uhalisia wathamani ya pesa yao

Halaf RUSSIA Haipo Kama Mnavyomezeshwa Na Wamagharibi
 
Thamani ya pesa na ughali wa maisha wap na wap mkuu ?!

Pesa inawezekana ikawa haina thamani ila maisha yao yakawa yanaendana na uhalisia wathamani ya pesa yao

Halaf RUSSIA Haipo Kama Mnavyomezeshwa Na Wamagharibi
Ndio kitu nilisikia kwamba hawa jamaa bei ya mkate 1999 ndio imesimama hadi leo. Kwa hiyo sio kama sisi ambao kila uchao bei ya kilo ya unga na sukari vinakamata kasi.
 
Gharama za maisha kati ya USA vs Russia
Screenshot_20191007-112044.jpeg
Screenshot_20191007-112216.jpeg
Screenshot_20191007-112248.jpeg
Screenshot_20191007-112332.jpeg
Screenshot_20191007-112348.jpeg
 
Gharama za maisha kati ya Russia vs United kingdom
Screenshot_20191009-093358.jpeg
Screenshot_20191009-092904.jpeg
Screenshot_20191009-092855.jpeg
Screenshot_20191009-093413.jpeg
Screenshot_20191009-093436.jpeg
Screenshot_20191009-093446.jpeg
Screenshot_20191009-093453.jpeg
Screenshot_20191009-093500.jpeg
Screenshot_20191009-093512.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20191009-092752.jpeg
    Screenshot_20191009-092752.jpeg
    63.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20191009-092810.jpeg
    Screenshot_20191009-092810.jpeg
    59.5 KB · Views: 1
Gharama za maisha kati ya Russia vs Japan
Screenshot_20191009-094237.jpeg
Screenshot_20191009-094247.jpeg
Screenshot_20191009-094259.jpeg
Screenshot_20191009-094310.jpeg
Screenshot_20191009-094329.jpeg
Screenshot_20191009-094338.jpeg
Screenshot_20191009-094344.jpeg
Screenshot_20191009-094350.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20191009-094310.jpeg
    Screenshot_20191009-094310.jpeg
    74.2 KB · Views: 1
Nusu ya warusi ambayo ni kama watu 70 milioni wanaingiza chini ya Dola 550 kwa mwezi

Vikwazo vya magharibi vyatajwa kua moja ya chanzo.

Rais Putin aweka mkazo wa kuwaondoa kwenye umaskini



source: aljazeera
Alisikika mpuuzi mmoja mlevi wa gongo akisema...
 
Back
Top Bottom