kongosho sipendi ugomvi.
Nilikuomba kwenye ile ID nyingine ukaninyima... Nikawa nacheki uwezekano kwa kabanakabana ukaleta uchawi...
Sijui unataka nini we binti?
haaaa
BW, ckukuu imeenda vizuri tu, umeme haukukatika ila pia nilikuwa na 'sababu nyingine' ya kukaa nyumbani the whole day (sijasema kama nilifungiwa na sweetie)
habari nyingine tunasubiri mwaka mpya bila presha lol
Hahaha, kaka umenifanya nipaliwe kwa kicheko! Inabidi wifi aniletee juisi ya mix ya ukwaju na ubuyu, koh koh! Sasa jogoo pori ndo anakuwa hana banda au?