PreGE2025 Nusrat Hanje atangaza kuhamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.

====

Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.

Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.

Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
 
View attachment 3338526

Ukitudi bungeni ni text please
 
Watanzania tumeshaona opportunists wa kila rangi. Asipopata anachokifuata huko hatutashangaa kumuona amerukia mashua nyingine tena!
 
Tumuone Tulia Ackson sasa

Je atamlipa mafao?

Je ataendelea kuwa Bungeni?

Je ataendelea kulipwa mshahara bungeni na kuendelea kuhudhuria vikao vya Bunge?

Maana huyu na wenzake wanaendelea kulipwa hela za walipa kodi wa Tanzania kama wabunge wa Chadema kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as walishafukuzwq uanachama wa Chadema.
 
Nilikuwa namkubali sana huyu Dada, covid 19 imewapa ulaji ila imeua ndoto za wengine.
 
Demokrasia inatoa uhuru wa mtu kufanya anavyotaka, bora tu havunji sheria. Ametumia uhuru wake wa kikatiba
 
Wakuu,

Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM.

====

View attachment 3338526

Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.

Hanje ametoa kauli hiyo leo Mei 18, mwak huu wakati wa mkutano wa hadhara alioufanya viwanja vya stendi ya Zamani Ikungi mjini huku akisema kwa miaka mitano aliyodumu Bungeni ameiva na sasa anatafuta changamoto nyingine za kisiasa nje ya CHADEMA.

Pia soma Pre GE2025 - Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

Amesema uamuzi huo wa kuhamia CCM ameufanya bila shinikizo lolote bali ameamua yeye mwenyewe baada ya kuona na kuridhishwa na mambo makubwa ya kimaendeleo anayo yafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wa Singida.

Katika Mkutano huo pia Hanje amewataka wanaikungi kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono kuhamia CCM kwa kuwa tayari changamoto zao na kero zao zinaweza kutatuliwa bila kusababisha vurugu wala machafuko.
Pumbavu, ukirudi bungeni wewe basi nitakua na Jambo la kujadili na Mungu.
 
Kwani covid walikuwachademaa au ccm wajameni,mbona hii nchi vituko haviishi?
 
Back
Top Bottom