Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,696 Reaction score 61,214 Oct 12, 2018 #181 Husband seeker said: Nahamu sana harusi ifikie nipewe raha za dunia sio zenu za kunitesa nimeteswa mimi jamani nimeteswaa humu π’π’π’π’mpaka nimechoka kabisa π©π©π©π©π©π© ila nyota ilipo ng'ara eh bwana eh nimefurahi sana. Click to expand... Inaonekana kuna sehemu ulikosea
Husband seeker said: Nahamu sana harusi ifikie nipewe raha za dunia sio zenu za kunitesa nimeteswa mimi jamani nimeteswaa humu π’π’π’π’mpaka nimechoka kabisa π©π©π©π©π©π© ila nyota ilipo ng'ara eh bwana eh nimefurahi sana. Click to expand... Inaonekana kuna sehemu ulikosea
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,696 Reaction score 61,214 Oct 12, 2018 #182 Husband seeker said: Gauni zuri nimechagua champaigne na mzungu wangu anavaa kiarabuu nguo zake i like it kama ali kiba alivyovaa . Napia atavaa mpaka zile mijambia napenda sana hiyo staili. Wajameni mtajijuuuu humuu mnaotesa watu roho navisimu vya kuslide nakutouch. Click to expand... Maisha si kufunga ndoa na kuvaa vazi zuri,bali baada ya kufunga ndoa ndio maisha halisi uanza
Husband seeker said: Gauni zuri nimechagua champaigne na mzungu wangu anavaa kiarabuu nguo zake i like it kama ali kiba alivyovaa . Napia atavaa mpaka zile mijambia napenda sana hiyo staili. Wajameni mtajijuuuu humuu mnaotesa watu roho navisimu vya kuslide nakutouch. Click to expand... Maisha si kufunga ndoa na kuvaa vazi zuri,bali baada ya kufunga ndoa ndio maisha halisi uanza
H Husband seeker Senior Member Joined May 6, 2018 Posts 125 Reaction score 76 Oct 12, 2018 Thread starter #183 Equation x said: Maisha si kufunga ndoa na kuvaa vazi zuri,bali baada ya kufunga ndoa ndio maisha halisi uanza Click to expand... Unamwambia nani nani hajui unajifanya kungwi hapa sio kitchen party.
Equation x said: Maisha si kufunga ndoa na kuvaa vazi zuri,bali baada ya kufunga ndoa ndio maisha halisi uanza Click to expand... Unamwambia nani nani hajui unajifanya kungwi hapa sio kitchen party.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,696 Reaction score 61,214 Oct 12, 2018 #184 Husband seeker said: Unamwambia nani nani hajui unajifanya kungwi hapa sio kitchen party. Click to expand... Huo ndio ukweli mkuu,watu hawataki kuambiwa ukweli
Husband seeker said: Unamwambia nani nani hajui unajifanya kungwi hapa sio kitchen party. Click to expand... Huo ndio ukweli mkuu,watu hawataki kuambiwa ukweli
Relief Mirzska JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 13,976 Reaction score 22,416 Oct 14, 2018 #185 bigmind said: Aliyekwambia wazungu wanaoa nani?? Hapo kanunua papuchi akiichoka unatupwa kule.. Click to expand... Acha wivu wewe
bigmind said: Aliyekwambia wazungu wanaoa nani?? Hapo kanunua papuchi akiichoka unatupwa kule.. Click to expand... Acha wivu wewe
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,080 Reaction score 93,006 May 11, 2020 #186 Mambo Sent using Jamii Forums mobile app
Fendi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2015 Posts 315 Reaction score 418 May 11, 2020 #187 Dizaini Bado una stress..