Husband seeker
Senior Member
- May 6, 2018
- 125
- 76
Asantee mwaya harusi mbali sana itafanyika ningekualikaHongera
Utulie sasa uache kurukaruka na kupasha viporo moto
Badili kwanza jina la id kwasababu ushapata[emoji23] [emoji23]Asantee mwaya harusi mbali sana itafanyika ningekualika
Ni mfinlandBadili kwanza jina la id kwasababu ushapata[emoji23] [emoji23]
Mbali sayari gan?
SoIla jina lako bado husband seeker
Ndio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.Aisee! Pole sana kwa kutumikia aka kutumika mpaka wana kublock dah! Yaonekana utakuwa mke mwema maana umeitafuta kwa jasho.
NdioHarusi inafanyikia Finland sio
Hongera mkuu kila la kheri..Ndio
Kumbe mpasha viporo?Hongera
Utulie sasa uache kurukaruka na kupasha viporo moto
yani ushaanza mbwembweNdio waliniblock nilimpata mkaka humu ile tu tunataka kuonana akadai simpendi akaniblock mwingine hadi leo hajaj sijamwona.
Ila ndio maisha nimepata nanitatulia
Sasa nilimpenda huyo kaka sana aliyeniblock ila inaonyesha hakuwa mkweli.
Ila nadhani anasoma naolewa nyeupe sio cheusi kama yeye .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mzungu, tigo iko salama? ni babu wa miaka mingap?
Hapendi tigo wala anapenda kile mwanamke anachopaswa kupewa so utajibebaMzungu, tigo iko salama? ni babu wa miaka mingap?
Hapendi tigo wala anapenda kile mwanamke anachopaswa kupewa so utajibeba