Nuru imeangaza juu ya nchi, shangilieni!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,105
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo,misukule na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
 
😂😂😂 Hamna unabii ambao hatutaona JF mwaka huu. Lakini imeandikwa jihadharini na manabii wa uongo. Tusubiri muda ni jawabu sahihi.
Kitakachokutoa gerezani ni njaa,

Maana utafika muda wa chakula Cha Bure gerezani hutoona yeyote akija,

Ndipo utajiongeza kutoka humo😄

Shangilia kama wale wakoma 4
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Tanzania hapana Jamani imetosha sasa
tunahitaji Tanganyika yetu na sio Tanzania tena
Mungu Aingilie kati na hili
ili kila mtu achukue 50 zake IMETOSHA SASA
 
Salaam!

Ni kweli mlikuwa kifungoni bila hatia, bila uhuru, sasa MWOKOZI ameshakuja, kabomoa gereza, kafungua milango, kawafungua pingu, sasa imebaki kazi kwenu kutoka gerezani,

Ni kweli Giza lilitanda, lakini adui aliamini kwamba Giza ni la kudumu milele, akadhani kuwa hapatakucha, kumbe saa haikusimama, ghafula Nuru imeangaza, bundi ,popo na viumbe vya Giza vinarudi mafichoni Ili njiwa waende kuwatafutia makinda yao chakula kwa Amani.

Tanzania unapendwa sana na Mungu, huna haja ya kuandamana kudai haki yako, maombi yako yametosha kukuokoa na mtesi.

Uko huru mwanangu Tanzania 🇹🇿

Tembea Kifua Mbele Tena,

Aamin 🙏
Kwa CCM hii mkuu?
 
K

Kwani nini tena kimetokea. ???!
Mbona mambo ni vile vile tu ??!
NJOZI 🙄 !

Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 !
 
Back
Top Bottom