Matokeo ya kidato cha nne yametoka ni zaidi ya wiki, lakini kwa wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya NUR ISLAMIC SEMINARY bado matokeo yao hayajafunguliwa wameekewa alama E.
Necta wanasema watoto hawakulipiwa na ili matokeo yafunguliwe kunahitajika malipo, tumefuatilia shule wanasema kulitokea mkanganyiko lakini wamemalizana na Necta na tayari wamefanya malipo na wanalosubiri ni Necta wafungue matokeo, masiku yanapita bila matokeo kufunguliwa, wanafunzi pamoja na wazazi wapo katika taharuki hawajui wafanye nini.
Tunaomba wahusika walifuatilie hili suala ili matokeo ya hawa vijana yafunguliwe