Mi natafuta ya kijeshi kaka, kuna jirani yangu ananisumbua sana suala la mipaka.

Kuna siku nilimwambia jamaa yangu kuwa nitanunua helicopter na hakuniamini. Wengi wetu hatujui kuwa kununua ndege mara nyingi ni sawa na kununua gari.
Hakika wewe ni mwana mtoka pabayaMi natafuta ya kijeshi kaka, kuna jirani yangu ananisumbua sana suala la mipaka.
Kuna siku nilimwambia jamaa yangu kuwa nitanunua helicopter na hakuniamini. Wengi wetu hatujui kuwa kununua ndege mara nyingi ni sawa na kununua gari.
Mi natafuta ya kijeshi kaka, kuna jirani yangu ananisumbua sana suala la mipaka.
Kuna siku nilimwambia jamaa yangu kuwa nitanunua helicopter na hakuniamini. Wengi wetu hatujui kuwa kununua ndege mara nyingi ni sawa na kununua gari.
Kuna siku nilimwambia jamaa yangu kuwa nitanunua helicopter na hakuniamini. Wengi wetu hatujui kuwa kununua ndege mara nyingi ni sawa na kununua gari.
Bei inaweza kuwa sawa, lakini matumizi ni tofauti. Kwa huwezi kuja na ndege nyumbani, hivyo, hutaturingishia mtaani, ukiwa na ndege unalazimika kuwa na gari ya kukutoa na kukurudisha unakopark hiyo ndege, maana huwezi kuwa na ndege halafu unakodi taxi au Bodaboda kukuleta na kukuridisha unakopark kila siku. Aidha, inategemeana na safari zako, kama unakaa Tandale na safari zako mara nyingi ni kwenda Tandika, ni gharama kuwa na ndege afadhali ununue vitz.
mkuu hapo wala usitafute ndege,we nunua mabomu ya kutega ardhini unamaliza mchezo!Mi natafuta ya kijeshi kaka, kuna jirani yangu ananisumbua sana suala la mipaka.
Kumbe kuna kuringishiana eeeh?