Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba Dodoma

Sep 30, 2019
48
78
CHAHWA, CHAMWINO IKULU, DODOMA

Eneo la kiuwekezaji, linakaribia ekari moja. Ni 4350 sqm. Limepimwa tayari. Hapa unanunua then unagawa viwanja unaanza kutengeneza faida kemkem. Ni nyuma ya Ikulu.
Bei ni 14M (slightly negotiable)
0743387260
Screenshot_20231205-094425.jpg
 
DODOMA
Tunakusaidia kutimiza ndoto yako ya kumaliza mwaka 2023 kwa kununua kiwanja na mwakani kuanza ujenzi!

MLIMWA C, 400 sqm. Bei ni milioni 10

MLIMWA C, 817sqm Bei milioni 15

KITELELA MSALATO, 988 sqm Bei milioni 15

CHAHWA CHAMWINO IKULU, 4350 Sqm Bei ni 14M

MKONZE, 600sqm Bei milioni 7.5

Aidha tuna mashamba mengi mazuri ,
Mpunguzi shamba la ekari mbili Bei milioni 1.2

Chamwino jirani na ikulu shamba la ekari 10 Bei milioni 1.5 kwa ekari

Mpunguzi shamba la ekari 4, Bei 600,000 kwa ekari

Mpunguzi shamba la ekari moja Bei ni 1.5M

Hali kadhalika, Endapo una kiwanja au Shamba unahitaji kuuza ama kununua sehemu yoyote Dodoma tuwasiliane tukusaidie kutimiza ndoto yako!

0743387260
-c8neo.jpg
 
0743387260View attachment 2837237
Umesomekaasss ngoja tujipanfe tujeerr
 
Emmaus, ipagala south, Dodoma

Kiwanja kikubwa Cha 1300 sqm kinauzwa. Kinafaa kwa kujenga lodge au apartments, eneo lipo barabarani kabisa. Bei ni milioni 67.

0743387260
 
Kiwanja kikubwa kinauzwa Iyumbu Dodoma. Kina ukubwa wa 1421 sqm, kimepimwa, kina documents zote.

Ni takribani kilomita 13 kutoka mjini. Kipo jirani na chuo Kikuu Cha Dodoma na hospitali ya Benjamin Mkapa.

0743387260

1605461525.jpg
 
Je, unadhamiria kufanya uwekezaji kwa kununua ardhi Dodoma? Usijali, kuna kipande Cha ardhi chidachi jirani kabisa na stesheni ya SGR.

Kiwanja kipo mita 100 kutoka barabara ya lami hivyo unaweza kujenga nyumba ya kuishi, lodge au fremu za biashara. Ni eneo lililojengeka mno.
418902545.jpg
 
MICHESE, DODOMA
Kiwanja kikubwa kinauzwa

kina ukubwa wa 2091 sqm, hapa ni sawa na viwanja vitatu vya ukubwa wa 700sqm

Ni location inayojengeka kwa Kasi na kipo jirani na barabara

Panafaa kujenga nyumba ya kuishi, apartments au lodge

Bei ni 19M

0743387260
 
Shamba linauzwa Mpunguzi, umbali 35km kutoka Dodoma mjini. Lipo Kijiji Cha Chibelela. Umbali wa 4km kutoka barabara ya lami. Linafaa kwa kilimo na ufugaji. Unaweza kuchimba kisima.
Bei ni laki Saba kwa ekari moja.
Zipo ekari tano
0743387260
885804495.jpg
 
CHAHWA, CHAMWINO IKULU, DODOMA

Eneo la kiuwekezaji, linakaribia ekari moja. Ni 4350 sqm. Limepimwa tayari. Hapa unanunua then unagawa viwanja unaanza kutengeneza faida kemkem. Ni nyuma ya ikulu.
Bei ni 14M
0743387260
1555588635.jpg
 
Shamba kubwa linauzwa Nala, Dodoma.
Lina ukubwa wa ekari 15.
Lipo jirani na kiwanda Cha mbolea Cha Itracom fertilizers limited.
Umbali kutoka mjini ni 20km na kutoka barabara ya lami ya singida road ni 5km.
Bei ni 1.2M per acre.
Tupigie 0743387260
477841538.jpg
 
Everyone should own a piece of land. It's the only sure investment. It can never depreciate like a car or iPhone 14 pro max ...Land will only double its value in five years.

Nala, Dodoma kuna shamba la ekari mbili linauzwa kwa milioni mbili tu.

0743387260
1064410364.jpg
 
Kiwanja kikubwa kinauzwa Iyumbu Dodoma. Kina ukubwa wa 1421 sqm, kimepimwa, kina documents zote.

Ni takribani kilomita 13 kutoka mjini. Kipo jirani na chuo Kikuu Cha Dodoma na hospitali ya Benjamin Mkapa.

0743387260
80766537.jpg
 
Back
Top Bottom