Nunua gari mapema ..

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
361
Ndugu yangu nunua gari mapema maana ukichelewa unaweza kupata namba za aibu kama vile T 325 UKE,T 268 UCH,T 425 TIA,T 128 VUZ ,T 169 SEX, T 694 MBO.
 
Ila wewe unatakiwa sana humu maana wakati watu wanaumiza kichwa jinsi ya kuitoa CCM wewe unakuja kinyume nyume. Asante nimecheka saaana.
 
Haya maneno kweli yameandikwa kweli na nzireye ambaye ni JF Senior Expert Member? Yanafundisha nini hasa? Wana JF watayajadili namana gani; na kwa faida gani? Ahaa, lakini endelea, wakati mwingine akili inapswa kupumzika kufikiria mambo ya maana.
 
Hahahaa.
Kuna jamaa ameweka stika ya weed kwa upande mmoja na stika ya blood of jesus upande wa pili, na plate no ni T...ASS
 
acha turelax sometimes kwa kucheka sio kila saa kuumiza vichwa.

Je hakuna T....CCM?
T.....CDM?
T.....JKT?
T....CUF?
T....MKE?
T....MME?

Mkuu endeleza kutujuvya hapa km zipo hizo namba
 
Haya maneno kweli yameandikwa kweli na nzireye ambaye ni JF Senior Expert Member? Yanafundisha nini hasa? Wana JF watayajadili namana gani; na kwa faida gani? Ahaa, lakini endelea, wakati mwingine akili inapswa kupumzika kufikiria mambo ya maana.

hey senior member ,penda kufikiria in simple ways for complicated situations,kuna muda wa kurelax na kwenda nje ya matatizo ya tz,kuwa kwangu jf senior expert member kusiwe kikwazo kwako kwani mie ni kama kinyonga nina-change kufuatana na jukwaa ambalo nipo ,sasa weye unataka jifunza kitu au kupata faida ktk jukwaa la jokes na udaku ,mmmmmh!! makubwa hayo,its better ukaenda jukwaa la inteligensia,siasa,habari na hoja,dini,mmu na lile la mambo ya kikubwa labda utajifunza na kupata faida ,otherwise kama huna bandama huku usikanyage .
 
acha turelax sometimes kwa kucheka sio kila saa kuumiza vichwa.

Je hakuna T....CCM?
T.....CDM?
T.....JKT?
T....CUF?
T....MKE?
T....MME?

Mkuu endeleza kutujuvya hapa km zipo hizo namba

Mkuu kuna bajaji kama 400 zimeingia mbeya zina namba kama T ...CCM ,Vp nikuagizie moja ama?
 
hey senior member ,penda kufikiria in simple ways for complicated situations,kuna muda wa kurelax na kwenda nje ya matatizo ya tz,kuwa kwangu jf senior expert member kusiwe kikwazo kwako kwani mie ni kama kinyonga nina-change kufuatana na jukwaa ambalo nipo ,sasa weye unataka jifunza kitu au kupata faida ktk jukwaa la jokes na udaku ,mmmmmh!! makubwa hayo,its better ukaenda jukwaa la inteligensia,siasa,habari na hoja,dini,mmu na lile la mambo ya kikubwa labda utajifunza na kupata faida ,otherwise kama huna bandama huku usikanyage .
Heshima kiongozi,nimecheka sana na post yako mkuu...yaani very many thanks dude for reducing my stress!!.........then mkuu toa makavu tu,anayesema kuwa uwezi jifunza kitu au pata faida kwenye jokes,utani na udaku nani?????there iz alot to learn and gain katika hili jukwaa mkuu........tell them aloud buddy we have alot to gain from laughing and nothing to lose from this jukwaa ukicompare na majukwaa mengine full of stress!......"LAUGHING IS THE WAY FOR US FOR LONG LIFE"what else does he/she need?
 
hey senior member ,penda kufikiria in simple ways for complicated situations,kuna muda wa kurelax na kwenda nje ya matatizo ya tz,kuwa kwangu jf senior expert member kusiwe kikwazo kwako kwani mie ni kama kinyonga nina-change kufuatana na jukwaa ambalo nipo ,sasa weye unataka jifunza kitu au kupata faida ktk jukwaa la jokes na udaku ,mmmmmh!! makubwa hayo,its better ukaenda jukwaa la inteligensia,siasa,habari na hoja,dini,mmu na lile la mambo ya kikubwa labda utajifunza na kupata faida ,otherwise kama huna bandama huku usikanyage .

Mkuu nziriye usihofu tunakufagilia kama kawa tu,sio lazima usikilize kila hasira za mtu wengine wamezihamishia toka majumbani kwao huko
 
Mkuu wangu ,unajua unaweza ukaandika kitu hata kama kipo sahihi kwako mwingine akakiona kina walakini,yani huyu kiumbe anataka kutupa stress zingine,mara dowans,mara umeme,mara maisha magumu,nauli juu,raisi zuzu,viongozi mazuzu na hapa jf kuwe na mazuzu ,hapana we wont accept that ,ukitaka toa stress fungua jf jokes and gossips.
 
acha turelax sometimes kwa kucheka sio kila saa kuumiza vichwa.

Je hakuna T....CCM?
T.....CDM?
T.....JKT?
T....CUF?
T....MKE?
T....MME?

Mkuu endeleza kutujuvya hapa km zipo hizo namba

Hizo namba bado hazijafikiwa, lakini nasikia zenye rangi nyekundu zimeshafanyiwa booking zote na wahusika. Unajua kwa nini..???
 
Back
Top Bottom