Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

Watu humu hamjaelewa sijui ni ugumu wa maisha au vipi?

Hizo ni apartments inakuwa na chumba self kimoja cha kulala, sitting room na kitchen.

Kwanini anaziuza bei?
Sababu zipo down town na unaweza kufanya kama Airbnb ukapangisha wageni wanaotoka nje ukalipwa kwa dollar na kwa bei utakayokubaliana na mteja wako kwa siku..!!
Ni za biashara sio za kuishi mwenyewe binafsi..

Ukipiga hesabu vizuri pesa yako inarudi.
 
Bei sasa Dar es salaam zinashangaza sana, kuna sehemu niliona wanatangaza kuuza nyumba Goba kwa $2 millions, sasa kama sio uchizi nini?
 
Huna unachokijua tulia upewe maelekezo.
Hizi ni apartments za makazi kuku ww, biashara tunayoizungumzia hapo sio biashara ya kuuza kitimoto wala nyanya au vitunguu. Ukinunua hizi apartments unazifanyia biashra ya kupangisha kwa siku au mwezi. Unachonishangaza umejiamini kuandika comment kana kwamba unajua hata kumbe uhalo tu. Achaga shobo na post zenye hela nyingi ukiona popote mtandaoni, sio level zako ww bado ni kichanga, pambana usipoangalia wanao utawaachia urithi wa nguo tu😂😂😂 kama jambo hulijui up
Sawa dalali
Heshimu madalali wakiamua wanakuuza hata ww na komwe lako😂
 
Watu humu hamjaelewa sijui ni ugumu wa maisha au vipi?

Hizo ni apartment inakuwa na chumba self kimoja cha kulala, sitting room na kitchen.

Kwanini anaziuza bei?
Sababu zipo down town na unaweza kufanya kama Airnb ukapangisha wageni wanaotoka nje ukalipwa kwa dollar na kwa bei utakayokubaliana na mteja wako kwa siku..!!
Ni za biashara sio za kuishi mwenyewe binafsi..

Ukipiga hesabu vizuri pesa yako inarudi.
JF wengi zero exposure halafu ujuaji mwingi ukichangamya na stress ndio mambo kama haya.
Kusema ukweli mleta mada kanifurahisha sana. Kawavumilia kashindwa kawapa ukweli wao.
Halafu wasichojua wateja wa hizi apartments sio first time buyers hawa ni watu wanaonunua nyumba kuweka hela zao tu. Imagine mtu anaambiwa nyumba ya biashara anafikiri eti kama Kariakoo! Hajui hata Airbnb au kuwa huko msasani apartment ni kuanzia $1000 kwa mwezi.
 
Tatizo sekta ya Real estate imeingiliwa na watakatishaji fedha bei zimekuwa na uhalisia usio kuwepo tujipe muda kama serikali itatupia jicho kweli kweli kwenye hela chafu halo itakaa sawa ila kama wakiendelea kufumbia macho basi bei zitaendelea kuwa juu
 
Soko la Real Estate Bongo michezo sana.
Yaani unavyocomment hivyo utazani sasa ww ndio unajua zaid miradi😂😂😂 huu sio mradi wa nssf babu, ni property yenye quality na standard ya kulazama wafanya biashara wakubwa, wazungu, wachina ama mabalozi. Unajiona unajua sana kumbe Huna unachokijua😂😂😂 nenda kawe kanunue ya 75000000 million😂 kapangishe Laki 5 mpaka 8 kwa mwezi. Huu ni mradi wa kuanzia dola 1500 mpka 3500 kwa mwezi sio local property. Sasa chaguo ni lako.
 
JF wengibzero exposure halafu ujuaji mwingi ukichangamya na stress ndio mambo kama haya.
Kusema ukweli mleta mada kanifurahisha sana. Kawavumilia kashindwa kawapa ukweli wao.
Halafu wasichojua wateja wa hizi apartments sio first time buyers hawa ni watu wanaonunua nyumba kuweka hela zao tu. Imagine mtu anaambiwa nyumba ya biashara anafikiri eti kama Kariakoo! Hajui hata Airbnb au kuwa huko msasani apartment ni kuanzia $1000 kwa mwezi.
Safari ni ndefu 😹😹😹

Tatizo la JF watu wanapenda kukurupuka sana. Ni wageni kwenye hizi business.

Muuzaji anawapa punch za kutosha 😹
 
Yaani unavyocomment hivyo utazani sasa ww ndio unajua zaid miradi😂😂😂 huu sio mradi wa nssf babu, ni property yenye quality na standard ya kulazama wafanya biashara wakubwa, wazungu, wachina ama mabalozi. Unajiona unajua sana kumbe Huna unachokijua😂😂😂 nenda kawe kanunue ya 75000000 million😂 kapangishe Laki 5 mpaka 8 kwa mwezi. Huu ni mradi wa kuanzia dola 1500 mpka 3500 kwa mwezi sio local property. Sasa chaguo ni lako.
Balozi Gani akakae huko kama njiwa
 
Sasa mkuu wewe unaona ni sawa , unauziwa kitu bei ya juu coz ya dalali. Sio Bora uweende mwenyewe kwa wahusika wa mradi.
Ndugu yangu hata ukienda ofisini bei ni ile ile. Dalali kashapewa listing hapo . Mbona amesema uende ofisini. Tatizo wenui comment zao zilikuwa za kupinda tu bila kuwa sensible.
 
JF wengibzero exposure halafu ujuaji mwingi ukichangamya na stress ndio mambo kama haya.
Kusema ukweli mleta mada kanifurahisha sana. Kawavumilia kashindwa kawapa ukweli wao.
Halafu wasichojua wateja wa hizi apartments sio first time buyers hawa ni watu wanaonunua nyumba kuweka hela zao tu. Imagine mtu anaambiwa nyumba ya biashara anafikiri eti kama Kariakoo! Hajui hata Airbnb au kuwa huko msasani apartment ni kuanzia $1000

JF wengi zero exposure halafu ujuaji mwingi ukichangamya na stress ndio mambo kama haya.
Kusema ukweli mleta mada kanifurahisha sana. Kawavumilia kashindwa kawapa ukweli wao.
Halafu wasichojua wateja wa hizi apartments sio first time buyers hawa ni watu wanaonunua nyumba kuweka hela zao tu. Imagine mtu anaambiwa nyumba ya biashara anafikiri eti kama Kariakoo! Hajui hata Airbnb au kuwa huko msasani apartment ni kuanzia $1000 kwa mwezi.
WACHEZE KWENYE LEVEL ZAO POST INASOMEKA DOLA HARAFU ANAKUJA MTU KULA YAKE MOJA TU NI YA SHIDA ANALETA STRESS ZAKE HAPA, LAZIMA NIWAPASUE HELA NAPATA NA TENA NZURI SANA TU SITAKI KUMKUFURU MUNGU. POST YANGU SIO MADA NI TANGAZO LA KIBIASHARA AMBALO LINATAKA WATU MATAJIRI SIO MASIKINI KAMA WAO😂 WAPUNGUZE SHOBO. HUU MRADI UNATUMIA ZAID YA BILIONI 200 KUJENGWA SASA, MATERIAL YAKE NI QUALITY, STANDARD YA MRADI NI YA VIWANGO, FINISHING ZAKE NI SUPER SASA WANATAKA WAUZIWE KWA BEI ZA KOTA ZA MAGOMENI AU😂😂 WANITOLEE STRESS ZAO ZA MAISHA KWENYE POST YANGU MAANA NTAWAPASUA WALA SIJALI
 
Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam.

Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.
Kwa sasa ujenzi umefikia floor ya 6 kwa phase 1

Unit ama apartments zinapopatikana hapa ni one, two na three bedrooms. Ambapo bei zake zinaanzia 94000 dola, mfumo wa malipo utachagua ww, ukitaka kulipa yote au kwa installment.

Na ukitaka kulipa kwa installment muda ni miezi 20 hadi 24 yaani miaka miwili.

Ukinunua apartments hizi unapewa umiliki wa unit yako kwa kupewa tittle died au hati ya jina lako kwenye hizi apartments.

Bei zake.

One bedrooms zinaanzia 94000 usd

Two bedrooms zinaanzia 143,000 usd

Three bedrooms zinaanzia 195,000 usd.

Bei hizi ni mpaka tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu, kwa sababu kuanzia tarehe 1 bei zinapanda, kwa sabb tulianza na bei hizi kabla hata hatujaanza ujenzi na kwa sasa tupo floor ya 6.

Mfumo wa malipo na discount

Kianzio cha malipo ni 30% na kuendelea.

Ukilipia 30% discount 5%

Ukilipia 50% discount 7-10%

Ukilipia yote discount 12-15%

Installment 20-24 months.

Kutembelea site yetu ni bure tunafanya kazi siku 7 kwa wiki.

Ofisi ziko wazi kuanzia saa 9 asubuhi hadi 12 jioni.
Location ya ofisi ilipo ndipo site yetu ilipo.

Naomba tupigie kama unataka maelezo zaidi ya mradi, ama unataka kuja site ama ofisini kwetu, namba 0743 598 873 whatssap pia ipo.

Karibuni mango tree residence muwekeze ni location nzuri sana kwa biashara ya airbnb, apartment renting, restarant ama unaweza kuweka hotel na ni mradi ambao una aminities zenye kuvutia wageni ambapo kwenye mradi huu kutakuwa na aminities zifuatazo

Ukinunua apartments zetu za 120sq, 150sq, 98sq na 54sq utapata sea view proper.
karibu uwekeze hapa uzee hauna hodi.
Kwa maelezo zaidi ya mradi wasiliana nami.
Denis masoko

0743 598 873
Mimi sitaki kuishi kwenye mabanda ya njiwa au hostels, Bora nikaishi zangu Bagamoyo
 
Tanzania biashara ya real estate iko nyuma sana.

Mwenye dola 94K cash hawezi kununua nyumba ya chumba kimoja wakati anaweza kununua kiwanja cha heka kadhaa alafu akajenga.

Nadhani inabidi Tanzania tuanze kuangalia models kama za mataifa yalifanikiwa kwenye real estate mtu analipa 10-20% alafu inayobaki analipa kama Mortgage
 
WACHEZE KWENYE LEVEL ZAO POST INASOMEKA DOLA HARAFU ANAKUJA MTU KULA YAKE MOJA TU NI YA SHIDA ANALETA STRESS ZAKE HAPA, LAZIMA NIWAPASUE HELA NAPATA NA TENA NZURI SANA TU SITAKI KUMKUFURU MUNGU. POST YANGU SIO MADA NI TANGAZO LA KIBIASHARA AMBALO LINATAKA WATU MATAJIRI SIO MASIKINI KAMA WAO😂 WAPUNGUZE SHOBO. HUU MRADI UNATUMIA ZAID YA BILIONI 200 KUJENGWA SASA, MATERIAL YAKE NI QUALITY, STANDARD YA MRADI NI YA VIWANGO, FINISHING ZAKE NI SUPER SASA WANATAKA WAUZIWE KWA BEI ZA KOTA ZA MAGOMENI AU😂😂 WANITOLEE STRESS ZAO ZA MAISHA KWENYE POST YANGU MAANA NTAWAPASUA WALA SIJALI
Honestly beibzenu za kawaida kulinganisha na wengine. Kule Masaki apartments nyingi zinaanzia $200k bedroom moja. Mradi wenu unayoa opportunity nzuri. Napajua hapo sema mambo mengi tu ningejilipua. Ila muda wenu wa kulipa mfupi sana kwa wenzangu na mimi.
 
Ndugu yangu hata ukienda ofisini bei ni ile ile. Dalali kashapewa listing hapo . Mbona amesema uende ofisini. Tatizo wenui comment zao zilikuwa za kupinda tu bila kuwa sensible.
MAELEZO YA POST YAMENYOOKA NDUGU HIYO BEI HAPO SIJAONGEZA HATA DOLA 1 HIZO NI BEI OFFICIAL ZA KAMPUNI, PIGA SIMU NJOO OFISINI KESHO NAKUTUMIA LOCATION UTANIKUTA NTAKUONESHA MRADI NIKIMALIZA NAKUPELEKA KWA MCHINA DIRECT MUULIZANE BEI NA MTAFIKIANA MUAFAKA. WAKATI HUO MIMI SIPO NISHAONDOKA ZANGU.
 
Back
Top Bottom