Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
SIku moja Nunda na rafiki yake aitwae Kashinde walienda kutembea mabondeni kwa bahati mbaya au nzuri walitokezea mtoni , waliona sichana limejiachia linakoga bila ya wasiwasi ,Kashinde akamwambia Nunda usitazame msichana aliekuwa uch utageuka jiwe ,Nunda akajibu basi ushachelewa kuniambia maana nishaanza kugeuka mgumu :happy: