Nunda (21) ..Ningojeni na mimi nivae viatu !!!!!

Nunda (21) ..Ningojeni na mimi nivae viatu !!!!!

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Mwalimu wa Nunda aligundua kuwa jicho moja la Nunda limepiga rangi ya ukijani na buluubuluu..!

Mwalimu : Kumetokea nini Nunda mbona jicho lako lipo hivyo ?
Nunda : Unakumbuka Mwalimu niliwahi kukwambia kuwa nalala kwenye sakafu kando ya kitanda cha wazazi ? Basi jana baba aliniuliza kama bado nipo macho,nikamjibu bado sijalala ,akanipiga ngumi ya uso.

Mwalimu : Anhaa ,sawa Nunda siku nyingine ukiulizwa mezea na bana kimya na tulia tuli usijibu lolote.

Masiku yalipita baada ya mawiki machache ,mwalimu alimuona tena Nunda na jicho lililobadilika kwa dalili kuwa alikuwa amepigwa.

Mwalimu : Jee Nunda hukusikia na kufuata yale maagizo niliyokupa ?

Nunda : Hapana mwalimu niliyafuata vizuri maagizo yako na baba aliponiuliza nilkaa kimya na sikujibu kitu nikijidai kuwa nipo kwenye usingizi mzito sana.
Lakini jana nilimsikia baba akiongezea I am coming na mama nae akajibu I am coming too ! Na mimi sipendi waende sehemu yeyote bila ya mimi ,nikatoa sauti kwa nguvu wanisubiri nivae viatu kwa sababu I am coming too hapo ndipo nikalambwa ngumi ya uso :happy:
 
Back
Top Bottom