Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Mwalimu wa hesabu alimuuliza Nunda.
Mwalimu : Nunda ukiwa na shilingi mia na ukamwambia baba yako akuongeze na mia utakuwa na shilingi ngapi ?
Nunda: Nitakukuwa na shilingi miah !
Mwalimu : Wewe Nunda hujui hata hesabu zako hujui kitu ?
Nunda ; Na wewe mwalimu humjui baba yangu :becky: