Nukuu za mwalimu Nyerere

Simply Lowassa alilelewa na Kile chama na anakijua ndani nje so yeye ndiye atakayesaidia mbinu mbadala za kukiondoa madarakani.
 

Bila shaka unakumbuka vilevile nukuu yake kuhusu kuwaogopa kama ukoma wale wanaokimbilia ikulu. Na kwamba ikulu ni mahali patakatifu.
 
Unaweza kutafsiri kauli hizo kwa kadili uwezo wako wa kufikiri unapoweza kufanya hivyo.....
• Upinzani wa kweli utakuwa ndani ya ccm na si nje ya ccm(wapinzani watakuwa ndani ya ccm na sio nje ya chama)Hapa ccm wanaweza kuitafsiri hivyo kauli hii.

• Upinzani wa kweli utatokea ccm na sio ndani ya ccm(hapa wapinzani CDM/ukawa wanaweza kutafsiri hivyo kauli hiyo.

• Upinzani wa kweli utatokana na ccm, kwa maana ya kwamba upinzani ni lazima uwe zao la ccm(tafsiri hii inaweza kutafsiriwa na watu hivyo lakini haina mashiko kwa kuwa kabla ya upinzani ilikuwepo ccm na waasisi wa upinzani walutokea ccm.

Kwa tafsiri hizo hapo juu wewe unaona Jk.Nyerere alimaanisha nini?

Mwl. aliwahi kusema kuwa rais wa JMT anaweza kutoka chama chochote lakini rais bora atatoka ccm. Alikuwa na maana gani?
 

Kweli Jina linasadifu na uhalisia umeitendea vyema hiyo I'd,kuna mtu anajiita Wise nn sijui ila anachokiongeaga ni kinyume na jina lenyewe!back to topic,umedadavua vizuri ila am not sure kama mtoa mada ataongeza na za kwake!!
 
Nakwambia UTII ukizidi unakuwa UOGA na Mara zote uoga huzaa unafiki na kujipendekeza. Sasa ninyi watumishi wa umma kwa wingi wenu kama mmeshindwa kupiga kura kuondoa viongozi dhalimu, bora mfe tu.
 

"Hivyo basi Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe." Mwl. Nyerere.

"Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo, ni umaskini mbaya sana"- Mwalimu J. K. Nyerere, 01/5/1995.

"Tatizo la paka kwa panya lingeisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: tabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo."- Mwl. J. K.Nyerere
 
"Kila mtu anataka maendeleo, lakini si kila mtu anaelewa misingi ya maendeleo, jambo kubwa ni kufanya juhudi"
 

Attachments

  • IMG_20170429_085712.jpg
    47.2 KB · Views: 155
mkuu hebu badili hilo rangi ya kijani maana nina aleji nayo, imenifanya hadi nishindwe kusoma kilicho andikwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…