Nukuu ya Membe iwekwe kwenye Hansard labda tutairudia!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kutokana uzoefu wa wanasiasa wetu uchwara wa Kibongo kutokuwa na msimamo ningependekeza hii nukuu ya B.Membe iwekwe kwenye kumbukumbu ili siku ikifika iibuliwe!

Waliohama CCM wananitia kichefuchefu
- Membe
Membe pia alizungumzia kitendo cha baadhi ya wanachama wa CCM walioamua kutimkia upinzani wakati wa harakati za Uchaguzi Mkuu, akisema wanamchefua.
Akijibu swali lililotaka kujua anavyowazungumzia na kujisikia kuhusu watu hao, Membe alisema: Nikionana nao najisikia kichefuchefu. Tena ukiwaona waambie, chama kichukue hatua kwa wasaliti.”

Alisema zipo taarifa za baadhi ya waliohama CCM kutaka kurejea, akashauri kisiwapokee tena.
“Nasikia wanataka kurudi, wasipokewe, hawa wasirudi,” alisema Membe ambaye alikuwa akichukuliwa kuwa mpinzani mkubwa wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenye kinyang’anyiro cha urais ndani ya CCM.
Lowassa alihamia upinzani baada ya kuenguliwa na CCM na akapitishwa na Chadema kugombea urais.
 
Kwa maneno hayo, nafikiria kama angekua raisi mgekoma wasaliti
 
Back
Top Bottom