Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
Akina ngosha utawajua tu.. wewe unaambiwa you are the best under the sun unavimba kiichwaa.. mbona hujiulizi ni nani best pembeni ya jua kwa upande wa kask, kus, magh na mashariki? We ng'ang'ania chini tu..
Yamoto ndio imeshika mji kaka, Tized na wanawe.
Khantwe najua unajua how best I am nikitokea pembeni ya jua... mwache tu huyu ngosha Ntuzu abakie tu chini ya jua
Yamoto ndio imeshika mji kaka, Tized na wanawe.
Khantwe najua unajua how best I am nikitokea pembeni ya jua... mwache tu huyu ngosha Ntuzu abakie tu chini ya jua
Hahahaaaaa...! Mambo ya mkubwa na wanawe...! Tized ndo mambo yake hayo
Last edited by a moderator: