Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Niko poa kabisa mkuu Ntuzu Mungu anatupigania aise tunaiona kila siku iitwayo leo na familia inaendelea vizuri kabisa hakuna maneno.
Hope na kwako watoto na mama wako salama kabisa hawana maneno aise
Najua hilo mkuu na ndo maana tunapenda sana Tized aingie kwenye chama na utafiti aise hapo naamini tutaongea kwa herufi kubwa kuhusu familia
Tized anaweza kuwa shemeji zima taa kaka hayupo
Apende tuu ila asiende zaidi ya hapo aise maana atakuwa kavunja sheria aise
Unatakuja lini shemd? Cant wait
Oooh... My darlingfriend thanks for the nice message!
Eeeh...hii avatar umeitoa wapi? Na tangu lini umeanza kufanya mambo bila ya kunishirikisha?
Sorry kwa kutokushirikisha...!
Nachungulia ubingwa wa EPL mamito!
huyo na mpira wapi na wapi,mwulize nyimbo za yamoto band
huyo na mpira wapi na wapi,mwulize nyimbo za yamoto band
basi khanga moko laki si pesaHahahaaa lol hata huko umenisingizia