"Kama tutashindwa kuwajibishana wenyewe kwa wenyewe katika makosa yenye ushahidi kama huu basi tutakuwa hatuna sababu ya kupewa nchi mwaka 2015 kwa kuwa hawa wasaliti hawawaathiri Wanachadema tu bali kila Mtanzania mpenda mabadiliko," alisema.Tafakari nukuu hii.
[h=2]Tafakari ya Mwanakijiji leo...[/h] Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari
"Kama tutashindwa kuwajibishana wenyewe kwa wenyewe katika makosa yenye ushahidi kama huu basi tutakuwa hatuna sababu ya kupewa nchi mwaka 2015 kwa kuwa hawa wasaliti hawawaathiri Wanachadema tu bali kila Mtanzania mpenda mabadiliko," alisema.Tafakari nukuu hii.
Kwa hiyo ndio akaamua wengine awafukuze uanachama na mwingine ampongeze na kumsifia kuwa ni mtu maarufu?
- Dih! Kidumu chama tawala CCM! CCM Hoyeeeeee!!
le mutuz
Sidhani kama kona adhabu moja kwa kila kosa. Tukifanya hivyo tutakuwa wavivu wa kufikiri kwa kutoa jibu moja kwa kila swali.
Na kama mngejaribu japo kusogeza mbele siku ya kufanya maamuzi kwa sababu zozote zile za msingi, mngetutambua.
Kwa hiyo ndio akaamua wengine awafukuze uanachama na mwingine ampongeze na kumsifia kuwa ni mtu maarufu?
- Dih! Kidumu chama tawala CCM! CCM Hoyeeeeee!!
le mutuz
Kwa hiyo ndio akaamua wengine awafukuze uanachama na mwingine ampongeze na kumsifia kuwa ni mtu maarufu?
"Kama tutashindwa kuwajibishana wenyewe kwa wenyewe katika makosa yenye ushahidi kama huu basi tutakuwa hatuna sababu ya kupewa nchi mwaka 2015 kwa kuwa hawa wasaliti hawawaathiri Wanachadema tu bali kila Mtanzania mpenda mabadiliko," alisema.Tafakari nukuu hii.
- Dih! Kidumu chama tawala CCM! CCM Hoyeeeeee!!
le mutuz
Kuwajibika maana yake nini? Neno hili linatoholewa kutoka kwenye misingi utawala bora. Pillars of good governance. One of these pillars is Responsible/ acountable. It means being answerable for ones actions. Hii ndiyo kuwajibika kwa watu tunaowaongoza au kwa matendo yako binafsi. Ni tofauti na jinsi wengi wanavyolichukulia neno kuwajibika kama vile kuachia ngazi au kufukuzwa kazi. Hii si tafsiri halisiilnayokusudiwa kwenye utawala bora. Heche anaposema "tusipowajibishana wenyewe kwa wenyewe ana maanisha tusipofukuzana wenyewe kwa wenyewe, jambo ambalo ni upotofu wa dhana ya utawala bora. Lakini pia mtu anapotoa majibu kwa matendo/ makosa
yake si lazima afukuzwe chama au kazi ili chama kionekane mbele ya jamii kuwa kinataka mabadiliko. Sidhani kama kona
dhabu moja kwa kila kosa. Tukifanya hivyo tutakuwa wavivu wa kufikiri kwa kutoa jibu moja kwa kila swali.