Kuwajibika maana yake nini? Neno hili linatoholewa kutoka kwenye misingi utawala bora. Pillars of good governance. One of these pillars is Responsible/ acountable. It means being answerable for ones actions. Hii ndiyo kuwajibika kwa watu tunaowaongoza au kwa matendo yako binafsi. Ni tofauti na jinsi wengi wanavyolichukulia neno kuwajibika kama vile kuachia ngazi au kufukuzwa kazi. Hii si tafsiri halisiilnayokusudiwa kwenye utawala bora. Heche anaposema "tusipowajibishana wenyewe kwa wenyewe ana maanisha tusipofukuzana wenyewe kwa wenyewe, jambo ambalo ni upotofu wa dhana ya utawala bora. Lakini pia mtu anapotoa majibu kwa matendo/ makosa
yake si lazima afukuzwe chama au kazi ili chama kionekane mbele ya jamii kuwa kinataka mabadiliko. Sidhani kama kona
dhabu moja kwa kila kosa. Tukifanya hivyo tutakuwa wavivu wa kufikiri kwa kutoa jibu moja kwa kila swali.