Nukuu ya DR.Ulimboka


Serkali haiwezi kukwepa jukumu lake la msingi kwa W atanzania la kutoa hata Primary Health Care lakini upande mwingine vijana wengi sasa hivi wanasomeshwa na serkali udaktari cha kushangaza Maktaktari ktk Chuo Kikuu cha Umma wamegoma kufundisha Clinical subjects Hospitalini wakidai posho kisa tu imechelewa kuletwa kwa muda na lazima walipwe,nauliza uko wapi uzalendo wetu vijana, hili halihitaji propaganda za wana siasa, wazazi wetu, ndugu zetu watoto wetu na Watanzania tuwe na hofu ya Mungu kama Uzalendo ni shida,

NAUNGANA NA WOTE WENYE MAPENZI MEMA KULAANI YALIYOMPATA DR. ULIMBOKA, MUNGU AMPATIA MAISHA MEMA KILA MTU AWJIBIKE NA SIYO KISASI.
 

Hawezi kukubali ila ndo hivyo yuko kabaruani anawajibika.
 
Ulimboka kaa chonjo na magamba wasije wakakubalali. .
 
Mini ni daktari na niligoma,kwa sasa niko mkoani ambako kama ni kugoma kufanya kazi katika mazingira magumu kwa wagonjwa nitamshauri daktari yeyote mwenye nia njema na nchi hii agome,hali ni mbaya kuliko maelezo,ulizia wagonjwa wanaotibiwa nzega district hospital wana hali gani
 
uzalendo uko ccm,haki na haki inatafutwa waache wagome
 
Umesoma kwa kodi za watanzania maskini unalipwa mshahara kwa kodi za watanzania maskini unagoma kuwatibu watanzania maskini, huu sio ubinadam hata kidogo
 
Osama hufai kabisa je unajua ni watu wangapi wamekufa leo kwa kukosa panadol na akina mama kukosa cloves za kujifungulia na vifaa vingine.

Ndugu WAPOMA tazama kwenye bold na nyekundu ni gloves si cloves. Gloves ni karafuu gloves sijui tuite soksi za mikono? Anayejua atuelimishe tafadhali.
 
wale walikuwa wanadai mishahara minono, mengine ilikuwa ni kuwadanganya watanzania. shame on you and them
Waitaka mishahara minono kama ya wabunge ambao hata wakigoma hats sisimizi hafi?
 
tujadili na wagonjwa walioteseka kwa kukosa matibabu wakati madaktari wamegoma
wakati mwingine ,haki haipatikani ila kwa ncha ya upanga, katika kudai haki lazima damu/ roho za watu zipotee, usitegemee ccm itaondoka hivihivi MADARAKANI ,kwa sababu Hao tayari ni watenda maovu kwa HIYO hawataondoka hivihivi 4get it
 
Khaaa! Magamba leo yamecharuka jamani ona yanavyotokwa mapovu!!
 
Umesoma kwa kodi za watanzania maskini unalipwa mshahara kwa kodi za watanzania maskini unagoma kuwatibu watanzania maskini, huu sio ubinadam hata kidogo
Mbona Manumba amewaacha Muhimbili amekwenda Agakhan? Bado mgomo unaendelea?
 
hospitali zote za wilaya na mkoa hali ni mbaya hakuna vifaa tiba ,vifaa vya kawaida na madawa.....hali ni mbaya sana ,tena inatisha..... morali wa madaktari upo chini ,wengi wanafanya shughuli zao binafsi.

watanzania tuamke kuutokomeza huu unyonyaje.
 
wagonjwa zaidi ya mia tatu 300 walikufa kwa kukosa huduma za madaktari waliokuwa ktk mgomo wa kijinga

na wagonjwa zaidi ya 1000 wamekufa baada ya kwenda kwa babu na kunywa sumu na kuacha dawa kwa ushabiki wa wanasiasa.
 
mishahara ya 3.5ml/= huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma hatuna

wacha udakuzi! Hivi wabunge wana mishahara minono,jangili moja liko mbugani linamaliza tembo wetu na faru,halafu they live like heaven,nyan'gau mmoja wa kimagamba anatengeneza mgao ili aneemeke yeye na mafriends zake ,mwalimu mshahara wa kubangaiza mpaka wafanye kazi za ziada ndio kipato angalau kiwe standard! Halafu leo unasema"huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma "? Ukikatiza wodini nakupa kwanza cristapeni ulale kwanza! Magamba Mnataka kufanya madaktari kama waalimu?
 
kwa kuchangia hoja hii JF si ajabu ikafungiwa kama gazeti la mwana halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…