mishahara ya 3.5ml/= huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma hatuna
wagonjwa zaidi ya mia tatu 300 walikufa kwa kukosa huduma za madaktari waliokuwa ktk mgomo wa kijinga
Mkuu osamamtanzania kwa taarifa tu ni kwamba madaktari na waalim wa Tanzania bado wako katika mgomo!!!! Ili upate huduma nzuri Muhimbili ni lazima uwe na refa!!! Ni hali halisi iliyopo kwa kuwa madai yao hayakusikilizwa na kupatiwa japo nusu solution. Matokeo yake walilazimika kurudi kazini kwa vitisho but hakuna compromise ilifikiwa!!! Impact yake tunaipata wale ambao sisi na ndugu zetu tunapata huduma kupitia hospitali za umma!!! Chunguza sana!!
Mbona hulalamikii mamilioni wanayojilipa waume zako kule bungeni?,hizo milioni 3.5 ndio umeona ni issue,hivi hujiulizi kama nchi hii ingekuwa na huduma bora wangejitengea mabilioni kwenda kutibiwa flu ulaya?,usiwe pungu wewe unatetea tu,ninyi ndio ambao ata CCM ikimsimamisha mbwa kuwa kiongozi mnamchagua badala ya mtu wa upinzani.

watu waliokuwa wanapokea mishahara iliyotokana na kodi za watanzania halafu wanagoma kuwahudumia ni wasaliti na ni wauaji wakubwa
sina mda mchafu wa kujibizana na mtu anayetumia kichwa kufugia nywele tuuu na anayetumia kiungo mbadala kufikiria.
sisi wote sio mbumbu wa akili kama unavyodhani, nia yako hapa ni ku-diverge mjadala kutoka kwenye mada husika. Kama ni kufa hata sasa wananchi wenye kipato cha chini bado wanakufa sababu dawa muhimu kwao hazipo, vipimo wanategemea utabiri wa madaktari wetu. Viongozi/wakubwa hata mafua tu India!tujadili na wagonjwa walioteseka kwa kukosa matibabu wakati madaktari wamegoma
'hakuna aliyepoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari' -lucy nkya(naibu waziri wa afya)wagonjwa zaidi ya mia tatu 300 walikufa kwa kukosa huduma za madaktari waliokuwa ktk mgomo wa kijinga
wabunge wako wanalipwa milioni ngapi kwa kupiga usingizi na kubembea kwenye viti vyekundu?mishahara ya 3.5ml/= huku watanzania wanateseka kwa kukosa panadol,hata huruma hatuna