Nukuu: Wanaume wanamaumivu pia

Babu alinambia pesa ya mwanamke ni sawa na ya Nyapara Jela ukitumia tu andika maumivu.hiyo imenisaidia kujua wajibu wangu sio kuanza kupanga kitu kwa pesa ya mwanamke ukiona mwanamme wa hivyo ni wale wasiojua wajibu wao katika jamii
 
wanawake ni wabinafsi ingawa sio wote.
kuna siku nilimuomba dem wng kiutani anitoe out akakubali tulitumia kama elf70 hivi asee alinuna wiki nzima ikabidi nimrudishie tuuu.maana sio kwa kulalamika hivyo!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…