#NUKUU Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
📹 #NUKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.
 
Attachments

  • VID-20250626-WA0010.mp4
    71.5 MB
  • VID-20250626-WA0009.mp4
    68.7 MB
  • VID-20250626-WA0008.mp4
    78.6 MB
  • VID-20250626-WA0007.mp4
    66.8 MB
  • VID-20250626-WA0006.mp4
    46.3 MB
📹 #NUKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.
dr. samia suluhu hassan kiongozi rais na kipenzi cha waafrica.
well done :KasugaYeah:
 
Ule mpango wa kumualika Rais Chapo kwenye kiapo baada ya uchaguzi Sijui utawezekana?
 
20250612_190153.jpg
 
Back
Top Bottom