Hii inafikirisha sana, ni aina gani ya njia iliyotumika?6. Ilibidi tutumie njia nyingine kumjulisha makamu wa rais ambaye ndiye alitakiwa kutangaza taarifa ya msiba
Hii namba kumi ndiyo inayochafua hadhi na heshima ya akina Kabudi, Bashiru na Ndugai.10. Kulikuwa na baadhi ya mawazo, kwamba inakuwaje juu ya makamu wa rais kushika nafasi ya urais. Nadhani walisahau kuwa katiba ya nchi inasema nini, ikiwa rais aliye madarakani anafariki au akishindwa kuongoza. Nami nilisema ni vema utaratibu huo ukafuatwa na ni jambo jema.
Hii inafikirisha sana, ni aina gani ya njia iliyotumika?
Mwanamke kwa kawaida sio mtu wa kupewa taarifa za msiba kienyeji, huwa wanashtuka sana, hawawezi kuvumilia kama wanaume.Hii inafikirisha sana, ni aina gani ya njia iliyotumika?
Tanzania ndo ya kumshukuru Mabeyo. Katiba ingevunjwa katika jambo kubwa kama hili huenda ingekuwa balaa.Samia amshukuru Mungu kwa kuwepo mtu kama Mabeyo.
Ila baada ya hiyo mbeleko alichokifanya ni kukimbilia lile genge la mafisadi ya msoga.
Kuna walev walisha torosha dhahabu kutoka bot zikarudishwabasi kama sio ushkaji wa ngosha na mabeyo uliomfanya amlinde popote... na kama asingekua dar wakati mzee anakata moto, basi wahuni wangepiga tukio zito tungejionea kasheshe....
mi kama ,mabeyo ndio aliyelazimisha mambo yaende yalivyoenda
Hiyo namba 10 ni yako.1. "Rais aliomba akafie nyumbani kwake, maana alisema hawezi kupona.
2. Alishangaa nilipomwambia sina mamlaka ya kuruhusu hilo.
3. Aliomba aitiwe Paroko wake, Pd Makubi na Kard. Pengo ambao walifika na kumpa upako wa wagonjwa!
4. Alikata roho mbele yetu wakuu wote watatu wa vyombo vya usalama.
5. Makamu wa rais, Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi hawakuwepo Dar. Tukaamua kuwaita Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi ambao walifika na kuwapa taarifa ya msiba.
6. Ilibidi tutumie njia nyingine kumjulisha makamu wa rais ambaye ndiye alitakiwa kutangaza taarifa ya msiba.
7. Kulikuwa na mjadala kipi kianze kati ya mazishi na kumwapisha makamu wa rais kuwa rais.
8. Wengi walishauri yafanyike mazishi kwanza, lakini nilishauri uapisho uanze kwanza, kwa sababu marais wa nchi nyingine walitakiwa wapokelewe na rais wa nchi.
9. Lilikuja suala la gwaride la uapisho ambapo walishauri kusiwe na gwaride. NILIWAKATALIWA kwa sababu aliyekuwa anaapishwa ni amiri jeshi mkuu,na lazima bendera ya amiri jeshi mkuu ipandishwe kwa gwaride. Kinyume na hilo, jeshi LISINGEMTAMBUA kama amiri jeshi mkuu.
10. Kulikuwa na baadhi ya mawazo, kwamba inakuwaje juu ya makamu wa rais kushika nafasi ya urais. Nadhani walisahau kuwa katiba ya nchi inasema nini, ikiwa rais aliye madarakani anafariki au akishindwa kuongoza. Nami nilisema ni vema utaratibu huo ukafuatwa na ni jambo jema.
Hata kama angekuwepo ni lazima katiba ingefuatwa !Watu wakizoezwa kukiuka katiba huwa nihatari sana...wanataka kufanya mambo tofautii na katiba nivile kamanda alisimama wima!! Najiuliza mkaa hapa angelikuwepo ingelikuwajeee? Anyways hayamambo ni mazito najela si pazuri